Mechi ya simba na yanga

FADHILIEJ

Senior Member
Nov 5, 2010
132
18
Wadau nipo mbali na luninga,naomba kupata update ya mechi za leo,nini kinaendelea?
 
Habari nilzipata ngoma bado ni 0 - 0 dakika 90 zimeisha wako dakika 30 za ngonyeza
 
waheshimiwa tupeni update maana dk 90 zinaonekana kuisha na hamna majibu kama ni Simba au Yanga
 
Kandambili ....hoyeeee.....bado mpira unaendelea lakini nashindwa kuufuatilia, pressure juu...
 
Yanga 1 Simba 0 Mpira umeisha au bado maana naona wale washabiki wote haonekani
 
Akina Masuke,saint Ivuga,Gwamahala na wengine tupeni kinachoendelea hapo uwanjani tafadhali tupo mbali
 
Hongera sana yanga kuwa bingwa Tanzania na Africa mashariki na pia hongera simba kwa ushindani mzuri maana wengi walitegemea historia ila imekuwa sio

Poleni sana wanasimba ndiyo mpira ulivyo
 
Back
Top Bottom