Mechi ya Ngao ya jamii, Yanga 4-5 Simba

c357b6e5cbe2d53c4d24fe1cfa7de967.jpg

Yanga......
 
BONGO BAHATI MBAYA .
simba kateni rufaa ........ya kombee hilo.
Yanga wame Dukuwa kombe lenu.
[HASHTAG]#shield[/HASHTAG] .........wakaaandika [HASHTAG]#sheild[/HASHTAG]
NDALICHAKOO PITIA NA HUKU.
adff9841abbbdf84924e46ddfa8be04a.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kheeee Kheeeeee shabiki wa kweli asiyetetereka. Ameanza kuipenda Yanga tangu akiwa tumboni!

Uzuri sijaipenda yanga jana wala juzi hivyo kama kuumia nshaumia sana haya ni marudio tu.

Nipo aisee na wala siondoki
 
Bashite kigwagala walikuwa uwanja hata nao hawakuona hilo kosa?ziro ziro kweli viongozi wa ccm bure kabisa


Swissme
 
Napita; kama Florian Kaijage ; alifukuzwa kisa wimbo wa taifa

Hii aibu haivumiliki

Raisi mpya tunampatia wiki moja, atumbue mtu . Kama ataki atakuja jutaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom