The Fixer
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 1,365
- 583
Wana JF,
Greetings !
Natafuta wadhamini nimeshatuma maombi mbalimbali kwa wadau ili kupata fedha ya maandalizi na kuwalipa wafanikishaji wa mechi ya mpira wa miguu kati ya UVCCM dhidi ya BAVICHA uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam itakayofanyika siku ya sikukuu ya sabasaba, Wageni rasmi tunatarajia wawepo Mh Mwenyekiti wa CCM Taifa JK na Mh Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa mbowe siku hiyo....!
Lengo ni kudumisha mahusiano mema kwani SIASA SIO UADUI mbona Wenyeviti wetu wa vyama wakikutana wanakumbatiana na kucheka alafu sisi ndio tuishi kwa bifu 27 / 7 ? Why ??
Naomba Bw Nape Nauye na Tumaini Makene mtusaidie kwa hili lifanikiwe..... Sote tunajenga nyumba moja tusinyang'anyane fito !
Naomba kutoa hoja....!!
The Fixer,
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums