Mechi ya kigoma ichezwe bila mashabiki

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Hii mechi inaenda kuongeza wagonjwa wa corona na tumeambiwa tayari kigoma kuna wagonjwa 10

Inakuwaje watu wanataka kusongamana uwanjani?

Mwanza tumeambiwa kuna corona na unajua mwingilano uliopo kati ya mwanza na kigoma ni mkubwa mno.

Nasikitika watu kwa maelfu wamesafiri kwenda kigoma kutoka dar sijui wakirudi hali inakuwaje dar?

Naomba serikali wazuie mashabiki kuingia uwanjani au waingie hata mashabiki 500 kwa kila timu ili kuweka distance otherwise

Serikali wakiacha hii mechi watu wajazane hawana nia ya kweli ya kupambana na corona.
 
Nashanga kwa hali hii lakini bado wana ruhusu
Nyomi la watu huko

Ova
 
Hii mechi inaenda kuongeza wagonjwa wa corona na tumeambiwa tayari kigoma kuna wagonjwa 10

Inakuwaje watu wanataka kusongamana uwanjani?

Mwanza tumeambiwa kuna corona na unajua mwingilano uliopo kati ya mwanza na kigoma ni mkubwa mno.

Nasikitika watu kwa maelfu wamesafiri kwenda kigoma kutoka dar sijui wakirudi hali inakuwaje dar?

Naomba serikali wazuie mashabiki kuingia uwanjani au waingie hata mashabiki 500 kwa kila timu ili kuweka distance otherwise

Serikali wakiacha hii mechi watu wajazane hawana nia ya kweli ya kupambana na corona.
Tutolee ujinga wako hapa lofa wewe
#Gaidi
 
Ukitaka hio mechi ya kesho iahirishwe,We sema tu Chadema watakuwepo Kigoma kesho hapo uwanjani,

Zitaletwa sababu zisizo na kichwa wala miguu za kuahirisha mechi,wanaweza kusema hata kuna viashiria vya tetemeko hivyo mechi imeahirishwa

Kwa sasa Chadema wanaogopeka mno na hii Serikali ya CCM kuliko hata hio Corona yenyewe.
 
Hiyo mechi wangekuwa wanacheza chadema isingeruhusiwa kwa sababu ya msongamano na corona ipo
Kwa kuwa chadema haiusiki basi ruksa maana corona haipo
NIMEGUNDUA SEHEMU YOYOTE CHADEMA WANAYOKUSANYIKA KUNAKUWA NA CORONA
CORONA YA TANZANIA NI KIBOKO HAIPO DUNIANI NI TZ TU
 
Hii mechi inaenda kuongeza wagonjwa wa corona na tumeambiwa tayari kigoma kuna wagonjwa 10

Inakuwaje watu wanataka kusongamana uwanjani?

Mwanza tumeambiwa kuna corona na unajua mwingilano uliopo kati ya mwanza na kigoma ni mkubwa mno.

Nasikitika watu kwa maelfu wamesafiri kwenda kigoma kutoka dar sijui wakirudi hali inakuwaje dar?

Naomba serikali wazuie mashabiki kuingia uwanjani au waingie hata mashabiki 500 kwa kila timu ili kuweka distance otherwise

Serikali wakiacha hii mechi watu wajazane hawana nia ya kweli ya kupambana na corona.
corona ipo wapi na hizo taarifa za wangojwaa mnatowaga wap?
 
Back
Top Bottom