Mechi! Mechi! Mechi!

Mkodoleaji

JF-Expert Member
Apr 27, 2008
458
138
Jamani tumechoka na hayo malumbano ya CCM kila siku, hawafanyi kazi wamebaki scheming tu. Kila mtu anamvizia mwenzie aseme nini. Sasa badala ya kuviziana afadhali wafanye mechi. Na pambano linatangazwa kama ifuatavyo:

MAFISADI PAPA vs MAFISADI NYANGUMI

TIMU: MAFISADI PAPA (unaweza kujaza wengine)
1. RM
2. Sofia Simba
3. Mahanga
4. ............
5. ............
6. JK (huyu anauma na kupulizia)
7. ............
8. ............
9. .............
10. ...........
11. EL

TIMU: MAFISADI NYANGUMI
1. Six
2. Mwakyembe
3. Anna Killango
4. ...............
5 ................
6. Mengi (huyu anapanda na kushuka)
7. ...............
8. ..............
9. ..............
10. ............
11. .............
 
Mpwa unafanya nini huku? Sorry, off point kidogo.

Samahani niliona kichwa cha habari mechi! Mechi! Nikajua ni mambo yetu labda mechi za mchangani kumbe sihasa then jamaa mwenyewe anajichanga watu wamechoka sihasa za chichimu hapox2 anaongelea hio tamthilia ya UFISADI watu wamechanganyikiwa bora sisi wa maloveee
 
[QUOTE=Nguli;645644]Samahani niliona kichwa cha habari mechi! Mechi! Nikajua ni mambo yetu labda mechi za mchangani kumbe sihasa then jamaa mwenyewe anajichanga watu wamechoka sihasa za chichimu hapox2 anaongelea hio tamthilia ya UFISADI watu wamechanganyikiwa bora sisi wa maloveee[/QUOTE]

Nguli,
Teh te te te te te Hata kwenye siasa kuna malovee pia. Halafu nimesema tumechoka na malumbano hivyo nilikuwa napendekeza waje wazi kwenye mechi na siyo kupambana kimyakimya
 
[QUOTE=Nguli;645644]Samahani niliona kichwa cha habari mechi! Mechi! Nikajua ni mambo yetu labda mechi za mchangani kumbe sihasa then jamaa mwenyewe anajichanga watu wamechoka sihasa za chichimu hapox2 anaongelea hio tamthilia ya UFISADI watu wamechanganyikiwa bora sisi wa maloveee

Nguli,
Teh te te te te te Hata kwenye siasa kuna malovee pia. Halafu nimesema tumechoka na malumbano hivyo nilikuwa napendekeza waje wazi kwenye mechi na siyo kupambana kimyakimya[/QUOTE]


Kweli mkuu nimeona nimesikia SOFIA SIMBA NA MENGI WANA MALOVEE
 
Instead of getting serious, mtaendelea na hiyo mizaha wakati wenzenu wanaendelea kupeta. Mara Mafisadi nyangumi, mara posho mbili mara sita siyo msafi,

This is non sense, get serious and react you people, au nani kawaroga?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom