shabiki moja wa madokta anaingia uwanjani, nini pale, anavua nguo, namna gani pale, ha ha ha ha ha kumbe ni kichaa.... umeme umekatika gafla ndugu zangu, nini tena, umerudi gafla tena..... kituko cha mwaka, wakati umeme umekatika matokeo yalikua 0-0 umeme ulivyorudi matokeo yanasomeka madokta 0-5 serikali,