Mechi kali JK Team vs Dr. Slaa Team

Mechi kali JK Team vs Dr. Slaa Team

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,473
Reaction score
757
Swali ni je nani ataruhusu mabao mengi dhidi ya mwenzake kama ilivyokuwa kwa Simba na Yanga mwishoni mwa Vodacom premier ligi 2011...

attachment.php
 

Attachments

  • JK_vs_Slaa.jpg
    JK_vs_Slaa.jpg
    104.3 KB · Views: 328
Ha ha ha ha kweli JF ni Jamvi nimecheka yaani basi na Mapesa yumo kwenye timu ya DR Slaa
 
Hahahahaaaa,......

Rostam Azziz na Lowassa wamefungwa Bandeji Usoni na Mguuni.

Wakikimbia wanachenjegua..... Heri wapelekwe timu ya vilema huko Angola.
 
Hahahahaha! Hapo kuna wachezaji wa Slaa watauza mechi kwa timu ya Jk, kocha arudie kupanga upya!
 
ndg yangu nyengo ni hivi wanasaikolojia wanasema KADRI UMRI UNAVYOZIDI KWENDA NDO HOFU YA MAISHA INAONGEZEKA hii ni kusema kwamba akili zao sasa hufikiri kuhusu kesho kimaslahi zaidi kuliko hko nyuma.HAO WATAKUJA KURUDI SIKU MOJA, NATABIRI HILO KAMA KASEJA ALIVYORUDI SIMBA



UPOOOOOOOOOOOOOO................hapoooooooooooooooo!
 
Mrema atoke aingie Halima mdee,Cheyo atoke aingie Wenje zitto atoke aingie David Silinde Mrema atoke aingie Lucy Owenya, na Shibuda atoke aingie Mh Arfi au wanawake hawaruhusiwi?
 
Back
Top Bottom