Mechanical & industrial engeneering

Mechanical & industrial engeneering

Ka2pain

Member
Joined
Apr 19, 2011
Posts
97
Reaction score
26
Wanajf ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya. nimechaguliwa kujinga degrii ya hiyo facult hapo juu., kwa wale mlio soma au wenye uelewa na hiyo course,., mechanical & indstry,. soko la ajira na vitu vingine kuhusiana na hiyo,., plz naombeni msaada wenu,. natanguliza shukrani za dhati.
 
Mkuu hiyo kozi ipo safi enzi zetu ilikua inaitwa mechanical engineering, ndani ya hii miaka mitatu ndo wameongezea na industrial, kwenye deperment ya mechanical and industrial engineering hiyo programme ndiyo ina cources nyingi kwenye hii first semester utakua na courses tisa so inabidi ujipange mkuu
 
Zipo nyingi sana kwenye viwanda ila mshahara mmmmm..Si unajua kampuni au viwanda vingi vya wahindi na Wachina.
 
Wanajf ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya. nimechaguliwa kujinga degrii ya hiyo facult hapo juu., kwa wale mlio soma au wenye uelewa na hiyo course,., mechanical & indstry,. soko la ajira na vitu vingine kuhusiana na hiyo,., plz naombeni msaada wenu,. natanguliza shukrani za dhati.
hongera sana na karibu ulimwengu wa WAHANDISI. ni kozi nzuri na soko lake la ajira ni zuri kuhusu mishahara kozi nyingi za kihandisi waajiri wanatuchakaza ila aanza mapema kuwa na akili ya kiajasiliamali tena huko mechanical and industrial kwa coet ndiko wanatoa kozi za entreprenuership .KAMA UMECHAGULIWA THE HILL MLIMANI UDSM HONGERA TENA . NA KAKARIBIENI UHANDISINI AKA FOE AKA COET . WAHANDISI EEEH ..
 
Ajira zipo nyingi sana we kubukue ila usitumie madesa
 
aksante maganga na wote mliochangia,,.Nimechaguliwa mlimani hiyo mambo naweza komaa,., tatizo linakuja hapo badae,. hata kama kujiajiri c inahitaji capital,. na maisha ye2 ya hapa siwezi ishia fanya kazi/ kibarua kwenye makampuni ya wawekezaji,.,?
 
hongera kijana
Maisha ni mipango
Focus on ur dream
 
Back
Top Bottom