Mecca ndio mji bora duniani

Mecca ndio mji bora duniani

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,027
Ni mji pekee unaotembelewa na watu walioamua kuachana na dhambi kwa wakati mmoja zaidi ya mil3.
Ni mji pekee ambao mtume wa mwisho wa mwenyezi Mungu amezikwa.
Ni mji pekee ambao upo katikati ya dunia.
Ni mji pekee ambao kibla kinapatikana.
Makabila yote duniani wanakutana kwa wakati1 kila mwaka..
 
Hakuna mji katika historia ya binadamu umewahi kupewa heshima kuzidi mji wa Makkah hakuna.
Mekkah ina heshima lakini inaonekana mlango wa kwenda mbinguni upo Yerushaleym. Kwani mtume wa Allah Bwana Muhamad alipotakiwa na Allah aende mninguni ilimbidi asafiri hadi Yerushaleym ili apande juu mbinguni.

Hili linadhihirisha Yerushaleym ni zaidi ya Makkah
 
Mekkah ina heshima lakini inaonekana mlango wa kwenda mbinguni upo Yerushaleym. Kwani mtume wa Allah Bwana Muhamad alipotakiwa na Allah aende mninguni ilimbidi asafiri hadi Yerushaleym ili apande juu mbinguni.

Hili linadhihirisha Yerushaleym nk zaidi ya Makkah
Kabla hujajibiwa Mbinguni ndio nn? Au unazungumzia pepo?
 
Mekkah ina heshima lakini inaonekana mlango wa kwenda mbinguni upo Yerushaleym. Kwani mtume wa Allah Bwana Muhamad alipotakiwa na Allah aende mninguni ilimbidi asafiri hadi Yerushaleym ili apande juu mbinguni.

Hili linadhihirisha Yerushaleym nk zaidi ya Makkah
Ukiona imani pale ilipoanzia hakuna mwenyeji anayeifuata jua kuna walakini.. Chukua hatua...
 
Back
Top Bottom