Me niko Poland, we uko wapi?

Nje ya mada kidogo

IP adress alafu pia kuna IP adress count pembeni , tarehe na muda ulioingia. Dah sema hii mifumo jau sana.

“T” kubwa= wapi ulipo, unaposign in from mara kwa mara. Hapo haihitajiki analyst mnyama hata nini. Ishu ni nani na nani anaweza kuziaccess hizi taarifa kirahisi inaweza leta noma

Hivi hizi taarifa tunaziona wenyewe au na watu wengine pia???
 
Me niko india new delhi💪💪😂😂😂
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…