Me ni mgeni wenu kuanzia leo nitakuwa mwenyeji.

Na hivi tayari jina limeonesha wewe ni mwanamme, mapokezi yatakuwa hafifu sana mkuu
 
Kwanza tujue,
Jinsi yako,
Umri wako,
Mahusiano yako,
Picha zako mbili ulizopiga hivi karibuni,
Jizungumzie kwa ufupi wewe ni nani,

Ukiwa unaendelea kujieleza kuna juice kwenye fridge au kahawa kwenye chupa unataka nini.
 
Kwanza tujue,
Jinsi yako,
Umri wako,
Mahusiano yako,
Picha zako mbili ulizopiga hivi karibuni,
Jizungumzie kwa ufupi wewe ni nani,

Ukiwa unaendelea kujieleza kuna juice kwenye fridge au kahawa kwenye chupa unataka nini.
Mmhh. Me ni mtu mzima ninaye jielewa. Nina miaka 23 napenda sana matani, jokes, matusi ya kumanisha sitaki. Napenda sana kuwa marafiki wanao jieshimu. Napenda sana kuwa na mchumba ndo ndoto yangu aswa. Fest of All(ushirikiano, ushauri, nk ni muimu sana kwenye maisha yetu)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom