Kumbe na Michelle wa JF na wewe ni mtundu eeh?
Sasa ungezipiga photoshop hizo kichwa kionekana kama avatar yako, ungetumaliza kabisa.
ha ha ha ha......sanaaaa tu? nimeona si vibaya leo nikawa mmoja wa wale walioonyesha wenzi wao hapa JF....l.o.l
Hao ni mfano tu. Kwa maisha yetu ya bongo hapa inakua ngumu kidoog kuishi kama hao. Umemka asubui umeme hamna, ofosini bosi mbogo, folini barabarani, mara mshahara umechelewa, mtoto anaumwa, mara gari bovu halafu fundi anakuletea uzushi, wazazi nyumbani wanataka msaada, ni wangonjwa...n.k n.k...! Stress juuu ya stress...! Hata hayo mapenzi unaweza ukayaona shubiri.
Matokeo yake unakuta watu hawana muda wa kufurahia kama hao akina obama...! Furaha inakua imezungukwa na shida na matatizo.

as a mrs of white house, sijapenda mavazi avaayo hasa wakienda for official visits.
no objection kama wako kwenye holiday or personal trips, sijaona american pres' wife
akavaa ovyo kama anavyovaa mke wa obama.
mimi na mume wangu stress pembeni.....em fikiria tutabeba stress ngapi? Al qaeda wanatutafuta, Republicans ndo hao kila kukicha wana jipya,mara uchaguzi ujao wanataka mume wangu asigombee....popularity imeshuka,Gaddafi,mara watoto,white racist wanatuvizia kila siku,uchumi ndo huu,mara China is becoming the biggest economy,bado recession hatuja recover vizuri,iraq,afhanistan,....yaani huwezi linganisha kukosa umeme na kuhofia maisha na future yako........na kushindwa kutimiza malengo yako......
enjoy life....there is no day that you will be stress free 100%.....easy!!!
Sasa Michelle unataka niuliwe na secret service nini ? itabidi nisitishe urafiki lol!