BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,050
- 10,495
Bado kabisa kuvunja rekodiHome of great thinker. Nimejaribu kujifanyia karesearch kadogo tu na haya ndio niliyoyabaini.
-uenda Mimi ndo member pekee wa Jf nayeishi Tanzania Ila sijawahi fika bongo Dar es salaam
-yawezekana ni Mimi tu humu Jf sijawahi kuvuka boda.
-yawezekana ni Mimi tu humu Jf nayeishi maisha cheap sana maana ninatumia freebasics Ku log in
-wakati wengine wakijadili kuhusu mandinga makali Mimi ndo mwaka huu nafikiria kununua baiskeli.
-yawezekana Mimi ndo member pekee nisiyekuwa na mchepuko humu Jf.
Ila yote heri Ila ukweli na enjoy sana na I'm already addicted to Jamii Forum.
Hapana. Mi mtu wa peace and love. Na inawezakana nikawa member ambaye sijamtukana mtu toka kujiunga.Aisee,.kwani una tatizo na mtu??
Nipe time ya kukumbuka kwanza..Nyeto pia hujawahi piga!??
Maana tunaanza usajili wa memba wapya CHAPUTA 1st March..
Nafasi ni chache
Na uenda nikawa member pekee ambaye sijawahi kuvunja rekodi humu JfBado kabisa kuvunja rekodi
Jr
Very simple download app ya freebasics playstore then uifungue utakutana na jamiiforum, utakutana na magazeti kama mwananchi, wikihow, Wikipedia na mengine mengi then anza kuserereka kitonga.Mkuu kama unataka kulogin jamii forumu kwa freebasic unafanyeje nipe mwongozo vyuma vimekaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok pamoja mkuuVery simple download app ya freebasics playstore then uifungue utakutana na jamiiforum, utakutana na magazeti kama mwananchi, wikihow, Wikipedia na mengine mengi then anza kuserereka kitonga.
Utaniongeza na mmNyeto pia hujawahi piga!??
Maana tunaanza usajili wa memba wapya CHAPUTA 1st March..
Nafasi ni chache
Na uenda nikawa member pekee ambaye sijawahi kuvunja rekodi humu Jf
We acha tu napaonaga kwenye kideo.hujawahi kufika Darisalaama ?? naskia kuna mataa kila mahali yanamulika muli muli,lol