BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,041
- 10,463
Home of great thinker. Nimejaribu kujifanyia karesearch kadogo tu na haya ndio niliyoyabaini.
-uenda Mimi ndo member pekee wa Jf nayeishi Tanzania Ila sijawahi fika bongo Dar es salaam
-yawezekana ni Mimi tu humu Jf sijawahi kuvuka boda.
-yawezekana ni Mimi tu humu Jf nayeishi maisha cheap sana maana ninatumia freebasics Ku log in
-wakati wengine wakijadili kuhusu mandinga makali Mimi ndo mwaka huu nafikiria kununua baiskeli.
-yawezekana Mimi ndo member pekee nisiyekuwa na mchepuko humu Jf.
Ila yote heri Ila ukweli na enjoy sana na I'm already addicted to Jamii Forum.