Mdudu yupi kati ya hawa anakera zaidi ukimuona ndani nyumbani kwako?

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
278,618
1,128,582
Kwangu mie ni huyu mjusi ni kero sana iwe kwangu au ugenini na kuwaondoa inahitaji mbinu za ziada,pesa yenyewe iko wapi!
IMG_20170423_171405.jpg
 
Kwa kweli ni wote, usiombe mende aingie kwenye wardrobe wala hajui magauni ya Gucci na Armani, yeye anatoboa toboa tu. Unakuta gauni la $400 halivaliki tena.
 
Back
Top Bottom