kyenjelakalulu
Member
- Oct 31, 2018
- 18
- 12
Nawaiteni walenga watungaji wa zamani
Wenye ujuzi kutunga, mafumbo ya kila fani
Kuna jambo lanitinga, mnitoe mashakani
MDUDU KAINGIAJE NDANI YA KOKWA YA EMBE?
Wenye ujuzi kutunga, mafumbo ya kila fani
Kuna jambo lanitinga, mnitoe mashakani
MDUDU KAINGIAJE NDANI YA KOKWA YA EMBE?
