Mdudu NAIROBI FRY

ossy

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
872
143
Wakuu huyu mdudu anasumbua sana watu hasa ukanda huu wa arusha,ningependa kujuzwa je ana sumu zaid ya kuunguza ngozi? na je kuna dawa ya hospital ya kutibu majeraha yake? samahanini kama nimekosea jina lake..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom