Huyu mdudu kwa jina anaitwa Demodex anaishi kwenye paji lako la uso, juu ya pua yako na kidevuni, Vipimo vya umbo lake vinonyesha kuwa ana ukubwa wa micromillimetre 0.3 na ndio maana huwezi kumuona.
Siku zote yupo hapo na ndio hivyo ilivyo maisha yake yote. Nyakati za usiku dume hulazimisha kukutana na jike maeneo hayo hayo na ku-mate na jike hutaga mayai yake kwenye matundu ya jasho yaliyo kwenye ngozi yako.
Maajabu wewe unafanya yako na kumbe kuna viumbe vingine vinafanya yake!
Na cha ajabu zaidi mdudu huyu hana tundu la kutolea uchafu ambapo uchafu hulundikana ndani ya mwili wake hatimaye hujaa na kupasukia kwenye mwili wako, imagine.
Tuwe wasafi wajameni, muwe na siku njema.