Mdude Nyagali yupo wapi? Hebu tujikumbushe maneno yake

Mdude Nyagali yupo wapi? Hebu tujikumbushe maneno yake

Juzi mke wake kapitisha bakuli ofisi ya chadema kanda anatafuta elfu sabini tu na wamemtosa, wabishe niwawekee hadi picha na video ya saa na location na walioko ofisini siku hiyo ilikuwa ijumaa tarehe 5 Dec 2.32 pm , nawafuatilia kwa ukaribu sana hao mabwege

Wewe inakuhusu Nini?
 
sio tanzania, tuipende nchi yetu tuwe wastaarabu ,
Hilo haliwezekani kwenye mazingira ambayo watawala haramu wamejigeuza miungu watu, wanaiba, wanateka, wanafira, wanaua wananchi ambao ndio wenye nchi
 
1. Kuna mwanaharakati mmoja hivi alijipatia umaarufu sana anaitwa mdude Nyagali AKA SUMU YA NYIGU

Alikuwa anajisifu sana kuwa yeye ndo alimnyoa mwendazake na panga bila maji kwa kauli zake mwenyewe
na Maria sarungi alikuwa anampamba balaaaa , wewe kidume hawakuwezi umewashika pabaya mara hivi mara vile makauli kibao ya kumtia moyo masikini yule kijana mdogo.

2 Aliwatukana sana polisi kuwatishia ma OCD kuwa wakigusa tu atawarudishia wembamba wa kipindi wanaingia jeshini, very misrespect to the system naomba sikilizeni clip zake halafu tujifunze kitu

3. Mwisho natoa ushauri kwa vijana wenye miheko, siasa inafanywa majukwani kwa taratibu halali kujifanya kichaa unakuja na ushabiki na uhuni wa usela nondo utaishia kuwa simulizi kabla hujatimiza ndoto zako za maisha .

TUELIMIKE TUWE WASTAARABU TUIPENDE NCHI YETU , BAADA YA MATAMBO YOTE LEO KAMUACHA MJANE ANALIWA NA BODABODA NA MTOTO ANALELEWA KWA KUUNGA UNGA


View: https://www.youtube.com/watch?v=P9-O5Uw_two - Simwogopi mtu Tanzania namwogopa mungu tu, polisi leo njooni niwashikishe adabu

MDUDE USO KWA USO NA LIJUALIKALI MBABE NANI - Mwaka huu watajua nywele zinanyolewaje


View: https://www.youtube.com/watch?v=5MXLOHxfMQ4- mimi nimepambana na miamba sio level za ma ocd, wewe ocd njoo mavi yakuishe tumboni

Bila kupepesa macho wewe ndiye uliyehusika na kuawa Kwa MDUDE .Damu yake irtanena juu yenu wote IPO siku isiyo najina .Hata kama Leo mnafurahi Kwa kulipwa pesa kumwaga damu IPO siku watoto wenu na wajukuu watalipa haya
 
Juzi mke wake kapitisha bakuli ofisi ya chadema kanda anatafuta elfu sabini tu na wamemtosa, wabishe niwawekee hadi picha na video ya saa na location na walioko ofisini siku hiyo ilikuwa ijumaa tarehe 5 Dec 2.32 pm , nawafuatilia kwa ukaribu sana hao mabwege
Unaacha kazi zako unatumwa kihuni huni kwenda kujibanza kwenye ofis za chadema kusikiliza umbeya
 
Unaacha kazi zako unatumwa kihuni huni kwenda kujibanza kwenye ofis za chadema kusikiliza umbeya
vijana wangu wamenitumia na nimemchangia ili mke wake warudi tena kuomba niendeleee kujua kinachoendelea
 
KWA MAZINGIRA YA SASA GEN Z WAKITANGAZA MAANDAMANO HATA KAMA HAWATAFANYA, VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA LAZIMA VIWEKE LOCK -DOWN.

KUWEKA LOCK-DOWN MAANA YAKE NI KUKWAMISHA SHUGHULI NYINGI ZA KIUCHUMI; UTALII UNADORORA ZAIDI, BANDARI KUNASIMAMA, USAFIRI WA ANGANI NA ARDHINI UNADORORA ZAIDI NA MAPATO YA SERIKALI YANAPUNGUA.
 
Unashabikia ujinga na upumbav tu.Kuua mtu ni sawasawa na kumpiga chura teke.Hao unawafikiri ni miungu watu, sijui system my foot, wanaingia chooni, wanainama kama wewe..na kama binadamu wote.
Kuua mtu ni level mwisho ya ushenzi wa mwanadamu..unamtanguliza mtu ambako na wewe utaenda???Wewe hutakufa??Jenista Mhagama si unaona naye, juzi yupo kwenye box, pamoja na fahari zake zote, pamoja na jeneza kupandishwa ndege cadaveli kabisa...msijipe umuhimu sana kwamba nyinyi ni wa muhimu hamkosolewi, hamtukanwi na mkitukanwa mnaua....ni ujinga na ushamba wa kiwango cha juu
hata bwege atakufa tu, rais atakufa, mwizi atakufa, doctor atakufa, issue ni utaratibu wa kutangulia usiwe wa kijinga na kujitakia?
 
Back
Top Bottom