Mdude Nyagali yupo wapi? Hebu tujikumbushe maneno yake

Mdude Nyagali yupo wapi? Hebu tujikumbushe maneno yake

Kweli kwa mdude najiuliza ule ubabe wake mbona haujamsaidia ? tumejifunza nini? usiwe nyumbu elimika , elewa nataka kukupa ujumbe gani? kuwa kimbelembele kinakuponza kama individual Maria analiwa na mumewe kamchochea Mdude leo mdude familia yake inalelewa na madereva boda boda kwa kumgongea mkewe
Punguza ukali wa maneno ,wewe pia umezaliwa Na mwanamke, Na Nina uhakika umezaa pia, huwa yanazunguka haya mwanangu...
 
..hakustahili kuuwawa.

..waliomuua Mdude wameichafua nchi, na ndio waliosababisha machafuko na mauaji ya Oct 29.
Mdude_Nyagali wa matusi? Sasa ana faida gani ? Mtu kila akiiingia social media ni kutukana viongozi wa nchi tu?? Tanzania imekuwa mahali salama pa kuishi bila Mdude
 
Huko ni kufilisika kifikra. Mdude stood for an idea. Wazo halifi kwa risasi. Ukimuua mtu mmoja wanaibuka wengine wa aina yake (au jeuri zaidi). Utaua wangapi?
Hawezi kutokea fyatu mwingine anayefanana na Mdude. Case closed
 
Utawala wa sheria ni muhimu kwa ustawi wa nchi, kukosoa hata kwa matusi, hakumaanishi mropokaji anatakiwa kuuawa bila kufikishwa mahakamani. Kama waliona kumuondoa Mdude ndio jawabu, mbona kulikuwa na Oktoba 29(waliuawa watu wengi sana wasiohusika na maandamano acha tu), kwa hiyo kina Mdude wamezaliwa wengi sana Oktoba 29 na Desemba 9 Kama huamini nenda TikTok au mitaani.
 
Hilo lijamaa lilikuwa Halijitambui kabisa. Lilikuwa na matusi machafu sana. Nililionya sana juu ya kuacha matusi lakini likawa halisikii wala kuelewa. Ona sasa hakuna anayelikumbuka wala kulizungumzia.
 
1. Kuna mwanaharakati mmoja hivi alijipatia umaarufu sana anaitwa mdude Nyagali AKA SUMU YA NYIGU

Alikuwa anajisifu sana kuwa yeye ndo alimnyoa mwendazake na panga bila maji kwa kauli zake mwenyewe
na Maria sarungi alikuwa anampamba balaaaa , wewe kidume hawakuwezi umewashika pabaya mara hivi mara vile makauli kibao ya kumtia moyo masikini yule kijana mdogo.

2 Aliwatukana sana polisi kuwatishia ma OCD kuwa wakigusa tu atawarudishia wembamba wa kipindi wanaingia jeshini, very misrespect to the system naomba sikilizeni clip zake halafu tujifunze kitu

3. Mwisho natoa ushauri kwa vijana wenye miheko, siasa inafanywa majukwani kwa taratibu halali kujifanya kichaa unakuja na ushabiki na uhuni wa usela nondo utaishia kuwa simulizi kabla hujatimiza ndoto zako za maisha .

TUELIMIKE TUWE WASTAARABU TUIPENDE NCHI YETU , BAADA YA MATAMBO YOTE LEO KAMUACHA MJANE ANALIWA NA BODABODA NA MTOTO ANALELEWA KWA KUUNGA UNGA

View: https://www.youtube.com/watch?v=P9-O5Uw_two - Simwogopi mtu Tanzania namwogopa mungu tu, polisi leo njooni niwashikishe adabu

MDUDE USO KWA USO NA LIJUALIKALI MBABE NANI - Mwaka huu watajua nywele zinanyolewaje

View: https://www.youtube.com/watch?v=5MXLOHxfMQ4- mimi nimepambana na miamba sio level za ma ocd, wewe ocd njoo mavi yakuishe tumboni

Kwako naona ndio penye upuuzi.
 
Mdude_Nyagali wa matusi? Sasa ana faida gani ? Mtu kika akiiingia social media ni kutukana viongozi wa nchi tu?? Tanzania imekuwa mahali salama pa kuishi bila Mdude

..watekaji, na wauwaji, ndio wasio na faida kwa nchi yetu.

..Ccm mmefika mahali hamjui tena tofauti ya utu, na uovu.
 
Unafikiri alikua mjinga kama wewe?? Alijua atakufa na Hana cha kupoteza.Sasa ivi ni miongoni mwa mashujaa Hadi wewe UMEMTAJA NA KUMUANDIKA.Lengo lake limefanikiwa by 100%
 
Guys kaa mkijua Mungu yupo siku zote jambo lolote ufanyalo kaa ukijua utacheka sasa ila ipo siku tu malipo yako utayapAta tu either ulitenda wemA ama ubaya zote ni mbegu matunda yake utayavuna tu
 
Nyinyi mtakufa vibaya zaidi ya hao mnao waua.. mmetia laana kizazi chenu
 
1. Kuna mwanaharakati mmoja hivi alijipatia umaarufu sana anaitwa mdude Nyagali AKA SUMU YA NYIGU

Alikuwa anajisifu sana kuwa yeye ndo alimnyoa mwendazake na panga bila maji kwa kauli zake mwenyewe
na Maria sarungi alikuwa anampamba balaaaa , wewe kidume hawakuwezi umewashika pabaya mara hivi mara vile makauli kibao ya kumtia moyo masikini yule kijana mdogo.

2 Aliwatukana sana polisi kuwatishia ma OCD kuwa wakigusa tu atawarudishia wembamba wa kipindi wanaingia jeshini, very misrespect to the system naomba sikilizeni clip zake halafu tujifunze kitu

3. Mwisho natoa ushauri kwa vijana wenye miheko, siasa inafanywa majukwani kwa taratibu halali kujifanya kichaa unakuja na ushabiki na uhuni wa usela nondo utaishia kuwa simulizi kabla hujatimiza ndoto zako za maisha .

TUELIMIKE TUWE WASTAARABU TUIPENDE NCHI YETU , BAADA YA MATAMBO YOTE LEO KAMUACHA MJANE ANALIWA NA BODABODA NA MTOTO ANALELEWA KWA KUUNGA UNGA

View: https://www.youtube.com/watch?v=P9-O5Uw_two - Simwogopi mtu Tanzania namwogopa mungu tu, polisi leo njooni niwashikishe adabu

MDUDE USO KWA USO NA LIJUALIKALI MBABE NANI - Mwaka huu watajua nywele zinanyolewaje

View: https://www.youtube.com/watch?v=5MXLOHxfMQ4- mimi nimepambana na miamba sio level za ma ocd, wewe ocd njoo mavi yakuishe tumboni

baada ya kumuuwa mmefanikiwa kuwanyamazisha wote msiowapenda?baada yeye kufa nchi imetulia?
 
Back
Top Bottom