Mdude Nyagali yupo wapi? Hebu tujikumbushe maneno yake

aiseee ilikuwa ukimsikiliza unajiuliza hivi dogo akijisaidia mavi yanaenda kichwani au?
We all gonna die at some point. Respect kwake, alisimamia alichokiamini, tena akijua aina ya watu anaodeal nao.

Kuna siku watakumbukwa tu kama kina Solomon Mahlangu
 
ahaaa imemuuma mwenyewe, kuna siku alisema anaomba apambanishwe na Rais IGP sio size yake nilijiuliza sana kulikoni? nddo maria anawaandaaa wengine
He was right. Malumbano ya kisiasa yako nje ya jurisdiction ya IGP. Yeye ahangaike na wahalifu. Mdude hakuwa mhalifu!
 
We all gonna die at some point. Respect kwake, alisimamia alichokiamini, tena akijua aina ya watu anaodeal nao.

Kuna siku watakumbukwa tu kama kina Solomon Mahlangu
kama shujaaaa basi tumchangieni tone tone
 
1. Kuna mwanaharakati mmoja hivi alijipatia umaarufu sana anaitwa mdude Nyagali AKA SUMU YA NYIGU

Alikuwa anajisifu sana kuwa yeye ndo alimnyoa mwendazake na panga bila maji kwa kauli zake mwenyewe
na Maria sarungi alikuwa anampamba balaaaa , wewe kidume hawakuwezi umewashika pabaya mara hivi mara vile makauli kibao ya kumtia moyo masikini yule kijana mdogo.

2 Aliwatukana sana polisi kuwatishia ma OCD kuwa wakigusa tu atawarudishia wembamba wa kipindi wanaingia jeshini, very misrespect to the system naomba sikilizeni clip zake halafu tujifunze kitu

3. Mwisho natoa ushauri kwa vijana wenye miheko, siasa inafanywa majukwani kwa taratibu halali kujifanya kichaa unakuja na ushabiki na uhuni wa usela nondo utaishia kuwa simulizi kabla hujatimiza ndoto zako za maisha .

TUELIMIKE TUWE WASTAARABU TUIPENDE NCHI YETU , BAADA YA MATAMBO YOTE LEO KAMUACHA MJANE ANALIWA NA BODABODA NA MTOTO ANALELEWA KWA KUUNGA UNGA

View: https://www.youtube.com/watch?v=P9-O5Uw_two - Simwogopi mtu Tanzania namwogopa mungu tu, polisi leo njooni niwashikishe adabu

MDUDE USO KWA USO NA LIJUALIKALI MBABE NANI - Mwaka huu watajua nywele zinanyolewaje

View: https://www.youtube.com/watch?v=5MXLOHxfMQ4- mimi nimepambana na miamba sio level za ma ocd, wewe ocd njoo mavi yakuishe tumboni

Spirit bado inaishi
 
Kwahiyo ndiyo unashangilia baada ya kazi uliyopewa au kazi uliyojipa?
 
Mdude alikuwa mwanasiasa halisi wa upinzani ila hakuwa na busara hata kidogo. Ninawalaumu sana CHADEMA kwa kutom-train kuwa na siasa za kistaarabu. Mbowe na genge lake watatafunwa sana na dhambi ya kumtoa kafara Mdude. Ikumbukwe hata UVCCM kunakuwaga na vijana wenye mihemko ila chama huchukua nafasi yake kwa kuwarekebisha. Kwa sasa hivi tayari Sativa kashaharibi maisha yake kwa kuingia mkenge wa Maria Sarungi.
 
Aliyemponza zaidi ni TUNDU LISU kwa kauli zake za hatutakuwa na siasa tena za kawaida itakuwa ni mshike mshike haswa na tutakinukisha kweli kweli? na wao wakabeba hizo kauli wakatembea nazo, Mbona AmanI GOlungwa anajenga hoja vizuri sana na anaeleweka? mbona Mnyika, Sugu, Rose MAYEMBA ETC shida ni hao vichaa wachache Sativa, waipaya, Mdude - ( Juzi mwaipaya alikuwa anasema tuwafuate polisi majumbani usiku watakuwa hawana silaha ) tayari huyo analeta vita akiwahiwa watalalamika
 
Labda wewe,sisi huku mbeya hutwambii kitu kuhusu shujaa wetu
Mbeya ipi unayoizungumzia Wewe? Mlikuwa mnajifanya kumjaza Ujinga na kumvimbisha likichwa kwa sifa za kijinga lakini leo mmeufyata na kumsahau kabisa. Alikuwa hana Faida yoyote ile wala cha kuigwa.
 
Ila mdude alikuwa na kauli chafu sana ... nadhani alikuwa na changamoto ya afya ya akili... jamii yetu ingekuwa makini alitakiwa apatiwe matibabu ya afya ya akili ... watu wanapenda kuhusisha uvuta bangi na uana harakati...
 
Hapo ndo huwa nadharau siasa za Tanzania , unamuona MTU anaenda kuzama unamuacha

Mdude angekuwa na watu sahihi angekuwa hai mpaka sasa .
 
1. Kuna mwanaharakati mmoja hivi alijipatia umaarufu sana anaitwa mdude Nyagali AKA SUMU YA NYIGU

Alikuwa anajisifu sana kuwa yeye ndo alimnyoa mwendazake na panga bila maji kwa kauli zake mwenyewe
na Maria sarungi alikuwa anampamba balaaaa , wewe kidume hawakuwezi umewashika pabaya mara hivi mara vile makauli kibao ya kumtia moyo masikini yule kijana mdogo.

2 Aliwatukana sana polisi kuwatishia ma OCD kuwa wakigusa tu atawarudishia wembamba wa kipindi wanaingia jeshini, very misrespect to the system naomba sikilizeni clip zake halafu tujifunze kitu

3. Mwisho natoa ushauri kwa vijana wenye miheko, siasa inafanywa majukwani kwa taratibu halali kujifanya kichaa unakuja na ushabiki na uhuni wa usela nondo utaishia kuwa simulizi kabla hujatimiza ndoto zako za maisha .

TUELIMIKE TUWE WASTAARABU TUIPENDE NCHI YETU , BAADA YA MATAMBO YOTE LEO KAMUACHA MJANE ANALIWA NA BODABODA NA MTOTO ANALELEWA KWA KUUNGA UNGA

View: https://www.youtube.com/watch?v=P9-O5Uw_two - Simwogopi mtu Tanzania namwogopa mungu tu, polisi leo njooni niwashikishe adabu

MDUDE USO KWA USO NA LIJUALIKALI MBABE NANI - Mwaka huu watajua nywele zinanyolewaje

View: https://www.youtube.com/watch?v=5MXLOHxfMQ4- mimi nimepambana na miamba sio level za ma ocd, wewe ocd njoo mavi yakuishe tumboni

Nafikiri ni maisha na Maamuzi yake, na haikuathiri chochote, Labda kama wewe ni mke wake na unakosa Matumizi?

Ni muhimu sana ku mind your own business na kuwaacha watu wengine wafanye mambo ambayo wao wanaona ya maana kwao.
 
Hakuna atakae baki kwenye hii dunia
Ila sio kufa kibwege vile na kupitia mateso ya kujitakia utadhania una laana ya kutembea na bibi yako mzaa mama bana , shida ni wanaowajaza kama nyie na ukute kichwa chepesi kinapokea tu,
 
Nafikiri ni maisha na Maamuzi yake, na haikuathiri chochote, Labda kama wewe ni mke wake na unakosa Matumizi?

Ni muhimu sana ku mind your own business na kuwaacha watu wengine wafanye mambo ambayo wao wanaona ya maana kwao.
Juzi mke wake kapitisha bakuli ofisi ya chadema kanda anatafuta elfu sabini tu na wamemtosa, wabishe niwawekee hadi picha na video ya saa na location na walioko ofisini siku hiyo ilikuwa ijumaa tarehe 5 Dec 2.32 pm , nawafuatilia kwa ukaribu sana hao mabwege
 
1. Kuna mwanaharakati mmoja hivi alijipatia umaarufu sana anaitwa mdude Nyagali AKA SUMU YA NYIGU

Alikuwa anajisifu sana kuwa yeye ndo alimnyoa mwendazake na panga bila maji kwa kauli zake mwenyewe
na Maria sarungi alikuwa anampamba balaaaa , wewe kidume hawakuwezi umewashika pabaya mara hivi mara vile makauli kibao ya kumtia moyo masikini yule kijana mdogo.

2 Aliwatukana sana polisi kuwatishia ma OCD kuwa wakigusa tu atawarudishia wembamba wa kipindi wanaingia jeshini, very misrespect to the system naomba sikilizeni clip zake halafu tujifunze kitu

3. Mwisho natoa ushauri kwa vijana wenye miheko, siasa inafanywa majukwani kwa taratibu halali kujifanya kichaa unakuja na ushabiki na uhuni wa usela nondo utaishia kuwa simulizi kabla hujatimiza ndoto zako za maisha .

TUELIMIKE TUWE WASTAARABU TUIPENDE NCHI YETU , BAADA YA MATAMBO YOTE LEO KAMUACHA MJANE ANALIWA NA BODABODA NA MTOTO ANALELEWA KWA KUUNGA UNGA

View: https://www.youtube.com/watch?v=P9-O5Uw_two - Simwogopi mtu Tanzania namwogopa mungu tu, polisi leo njooni niwashikishe adabu

MDUDE USO KWA USO NA LIJUALIKALI MBABE NANI - Mwaka huu watajua nywele zinanyolewaje

View: https://www.youtube.com/watch?v=5MXLOHxfMQ4- mimi nimepambana na miamba sio level za ma ocd, wewe ocd njoo mavi yakuishe tumboni

Mimi napenda CCM
 
Baada ya Juma Homera kumaliza kazi yake ya mdude kazawadiwa ubunge na
 
Unashabikia ujinga na upumbav tu.Kuua mtu ni sawasawa na kumpiga chura teke.Hao unawafikiri ni miungu watu, sijui system my foot, wanaingia chooni, wanainama kama wewe..na kama binadamu wote.
Kuua mtu ni level mwisho ya ushenzi wa mwanadamu..unamtanguliza mtu ambako na wewe utaenda???Wewe hutakufa??Jenista Mhagama si unaona naye, juzi yupo kwenye box, pamoja na fahari zake zote, pamoja na jeneza kupandishwa ndege cadaveli kabisa...msijipe umuhimu sana kwamba nyinyi ni wa muhimu hamkosolewi, hamtukanwi na mkitukanwa mnaua....ni ujinga na ushamba wa kiwango cha juu
 
Back
Top Bottom