Mdude Nyagali yupo wapi? Hebu tujikumbushe maneno yake

Mdude Nyagali yupo wapi? Hebu tujikumbushe maneno yake

Mtoa mada alisoma kuhusu Kinjeketile Ngware alivyopambana na Wajerumani, akaaminishwa kama shujaa kupambananao leo anamcheka Mdude kupigania Katiba Mpya! Kupigania itawala bora nchini Tanzania! Elimu yako ilikusaidia nini?
 
kuna njia sahihi tupingane kwa hoja tuandae majukwaaa kama enzi za dr slaaa
 
🚮
Usisahau kuwa utawala ukionea sana wananchi kwa ukatili mkubwa kama mnavyofanya nyie matokeo yake huwa ni kuibuka kwa makundi ya waasi na wapiganaji
sio tanzania, tuipende nchi yetu tuwe wastaarabu , nimemkumbuka mdude kwa sababu maria anawaoomba vijana wakiwashe kokote walipo , nikajichekea sana nikaona manyumbu yanaandaliwa kuuliwa tena, nawasaidia kuwastua msifuate mkumbo , wengi wachochezi wapo nje sisi wanyaki tutafia hapa hapa
 
ahaaa imemuuma mwenyewe, kuna siku alisema anaomba apambanishwe na Rais IGP sio size yake nilijiuliza sana kulikoni? nddo maria anawaandaaa wengine
kuna sku alipewa msamaha kwenye kesi moja ivi, akatoka akasema "wamejaribu wameshindwa hatimae nimenyoa" nikasema sasa wewe sku zako sio nyingi
 
sio tanzania, tuipende nchi yetu tuwe wastaarabu , nimemkumbuka mdude kwa sababu maria anawaoomba vijana wakiwashe kokote walipo , nikajichekea sana nikaona manyumbu yanaandaliwa kuuliwa tena
Hilo ni angalizo tu kwa nyie watekaji na wauaji wa Watanganyika.

GenZ: CCM hakina tofauti na kikundi cha kigaidi cha HAMAS, kinafadhili vikundi vya kigaidi, dunia ikipige marufuku | JamiiForums GenZ: CCM hakina tofauti na kikundi cha kigaidi cha HAMAS, kinafadhili vikundi vya kigaidi, dunia ikipige marufuku
 
wameichafua nchi ? nchi inachuka kwa kijinga kimoja kuwa na matusi kama vile hana wazazi?

..tuchukuliane kama wanadamu.

..tatizo la Ccm ni kwamba mmejazwa CHUKI mpaka mnaona wakosoaji na wapinzani sio wanadamu sawa na nyinyi.

..haiwezekani uone mtu aliyekosoa, au hata aliyetukana, anastahili kuuwawa kinyama.

..waliomuua Mdude, na waliowatuma, ndio wenye matatizo, na wanaoharibu amani yetu.
 
Alionywa sana hakusikia, alishauriwa sana hakusikia, siasa zipo ila kauli za ajabu ajabu sio utamaduni wetu, leo mwingine kaanzisha kampeni huko mitandaoni eti atakiwasha , vijana wakiwashe kokote, hakuna anayebisha kuna mapungufu serikalini lakini sio kwamba ni imeoza kabisa hapana ina mema yake pia sema kasi yetu sio sahihi na watendaji ndo wanaoiangusha ccm, wakosee waunde kikosi cha kusimamia nidhamu ya watumishi wanikabidhi na sheria ibadilishwe kuwe na hukumu ya kunyongwa ndani ya siku 14 ukikutwa na hatia ya rushwa au unadhirifu, uzembe miaka 30 jela na kazi ngumu bila rufaaaa
 
KUMBE VICHAA BADO MPO JF.

UKIWA MKOSOAJI ADHABU YAKO NI KUTEKWA AMA KUUWAWA?

JE KUNA HAJA YA KUWA NA UPINZANI KWA MTINDO WA KUUWAWA????

MUNGU AKUPE AKILI JAPO KIDOGO TU, USISHEREKEE MABAYA YA MWENZAKO.
 
KUMBE VICHAA BADO MPO JF.

UKIWA MKOSOAJI ADHABU YAKO NI KUTEKWA AMA KUUWAWA?

JE KUNA HAJA YA KUWA NA UPINZANI KWA MTINDO WA KUUWAWA????

MUNGU AKUPE AKILI JAPO KIDOGO TU, USISHEREKEE MABAYA YA MWENZAKO.
SIjasema kauwawa ila sumu ya nyigu hayupo tena kutukana tukana usikariri majibu
 
Alionywa sana hakusikia, alishauriwa sana hakusikia, siasa zipo ila kauli za ajabu ajabu sio utamaduni wetu, leo mwingine kaanzisha kampeni huko mitandaoni eti atakiwasha , vijana wakiwashe kokote, hakuna anayebisha kuna mapungufu serikalini lakini sio kwamba ni imeoza kabisa hapana ina mema yake pia sema kasi yetu sio sahihi na watendaji ndo wanaoiangusha ccm, wakosee waunde kikosi cha kusimamia nidhamu ya watumishi wanikabidhi na sheria ibadilishwe kuwe na hukumu ya kunyongwa ndani ya siku 14 ukikutwa na hatia ya rushwa au unadhirifu, uzembe miaka 30 jela na kazi ngumu bila rufaaaa

..serikali nao wamebembelezwa, wameshauriwa, na wameonywa, kuhusu unyama wa genge la wasiojulikana.

..hivi mbele ya SHERIA unaamini Mdude ana makosa kuwazidi watekaji, au wale waliowatuma?

..Na kwanini uko upande wa watekaji, na wawezeshaji wao?
 
Back
Top Bottom