Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 5,398
- 6,905
Wakuu habari za muda huu!.
Kichwa Cha habari kimehusika!.
Vipi kijana mchakarikaji na mpambania uhuru wa kisiasa Mdude Nyagali vipi Amepatikana? Au bado polisi wanahangaika kutafuta kitu wanachokijua?
Maana nilisikia ndo waliomchukua kwake Kwa kipigo kikubwa! Hii haijakaa sawa, kumkamata mtu na kumuadhibu kisa demokrasia ambayo mliikubali, hii haijakaa sawa, ni mara mia muwe watu wa ukweli kuwa demokrasia hamuiwezi kuliko kuwapoteza watu kiasi hiki.