Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 5,398
- 6,913
- Thread starter
- #21
Ni madaHii nayo ni mada au n comment ulitaka uiweke mahali Ila ukajisahau ikawa mada?
Ni madaHii nayo ni mada au n comment ulitaka uiweke mahali Ila ukajisahau ikawa mada?
Utekaji sio dilitulishatoka huku.wanaturudishs tena
Hakika hii ni mbaya sanaApatikane wapi? Hapo watesi wake wanasoma tu upepo. Mkijisahau tu na kuacha kupaza sauti zenu mara kwa mara, watampoteza moja kwa moja.
Inawezekana wapo mahali wanamsulubishaIle barua ya Lissu naona kama ilisema anashikiliwa mahali aachiwe maramoja apate matibabu,ina maana kuna fununu yupo mahali
Hapoi kabisaKinachowaumiza ni kwamba Mdude hawezi funga mdomo, yani siku wakimuachia tu, atasema yote.
Ni mbaya sana Kwa taifa lililojitanabaisha kuwa ni la kidemokrasiaSio doa tuu Mkuu ni Donda haswaa!
Kuna watu wema huko kwenye vyombo vya dolaLisu alijuaje
Wanaharibu taswira ya taifawalio mshikiria ni wapumbavu
HakikaKwa kweli iwe ya chama kimoja basi kuliko kulitia taifa kwenye mikosi .
Inasikitisha Kwa kweliMzanzibari ameshanogewa na damu za Watanganyika halafu wanaomsaidia kugema damu za Watanganyika ni Watanganyika wenzetu.
Nitakitafutasoma kitabu kiitwacho rise and fall of socialism,.
Getezaninkuna TV hujui hiloLisu alijuaje
Hawajamuachia, wanajua imeshapita hiyo.Wakuu habari za muda huu!.
Kichwa Cha habari kimehusika!.
Vipi kijana mchakarikaji na mpambania uhuru wa kisiasa Mdude Nyagali vipi Amepatikana? Au bado polisi wanahangaika kutafuta kitu wanachokijua?
Maana nilisikia ndo waliomchukua kwake Kwa kipigo kikubwa! Hii haijakaa sawa, kumkamata mtu na kumuadhibu kisa demokrasia ambayo mliikubali, hii haijakaa sawa, ni mara mia muwe watu wa ukweli kuwa demokrasia hamuiwezi kuliko kuwapoteza watu kiasi hiki.
Aisee. Mdude si hoja tena, hoja ni picha ya jamaa fulani hivi mnene ameipiga ikulu.Chadema ina wanachama wanafiki sana ukiongea wanasema wapo nyuma yako ila ukipata tatizo hakuna hata mmoja anaeweza kutoka barabarani kunyanyua Bango kukutetea