Mdude CHADEMA umejitakia mwenyewe

Mbona hamjamtetea Nchambi?
 
Mbona hamjamtetea Nchambi?

Two different situations

Nchambi ni known wildlife profiteer and abuser

It was the matter of time

Mdude ni critic wa serikali,known worldwide,na ni known hashughuliki na madawa ya kulevya

Prosecution ya Mdude ni politically motivated!

Thats the fact!
 
huyo binti kama ana Akili ahame nchi
Ahame nchi aende wapi? Yaani Askari amkimbie civilian. Iyo ni akili? Kuweni makini,unaanzaje kutongoza dem kwenye social media? Umekosa manzi ofisin kwenu, mtaani, kanisani hata bar mpaka ukatongoze mdada wa mtandaoni? Huo ni ushamba uliopitiliza. Nilidhani Mdude ni mwelewa kumbe ana IQ ndogo. Kama n kweli, Basi mwamba hafai hata kuwa Mwenyekiti wa mtaa.
 
mkuu unaamini anayetongoza demu mtandaoni ana IQ ndogo ?
umejuaje kama mdude ndiye ametongoza je kama ametongozwa ? alafu huyo binti sio TISS ni mdangaji tu ametumiwa bila yeye kujua ametumwa na TISS
 
Kijana huyu amekuwa katika mikono ya watu wasiojulikana mara mbili,ameteswa vilivyo.Huyu hakuwa hata mtu wa kumchukulia seriously kwani ni wazi mateso aliyopitia yalimfanya aathirike kisaikolojia.Mtu huyu alikuwa anatakiwa close monitoring ili asije akafanya jambo baya.Hata hivyo huyu ni binadamu na hatujui mwisho wake utakuwaja lakini ifike mahali tupime kauli zenye athari na zisizo na athari na wenye mamlaka wajifunze kupuuuza.
 
Sema ile papuchi nzuri bhana yule mto huo kisu hata mimi ningeingia kingi
 
Mbona kesi haina mvuto ... saaana naona kesi hii imepata huruma ya jamii huruma ambayo ni sehemu ya mtaji wa upinzani October 2020

Mapambano dhidi udhalimu hayana kujitakia wala hayana lawama ila yana cheo cha ushujaa

Twende na hoja mezani kubambikiana kesi veeeeepe!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu unaamini anayetongoza demu mtandaoni ana IQ ndogo ?
umejuaje kama mdude ndiye ametongoza je kama ametongozwa ? alafu huyo binti sio TISS ni mdangaji tu ametumiwa bila yeye kujua ametumwa na TISS

Ni mwanafunzi wa chuo flani Arusha.

Dah! inakatisha tamaa na kuogopesha kwa sie tunaopenda kula tunda kimasihara..yani kimasihara unashushiwa mvua ya mawe
 
Ni mwanafunzi wa chuo flani Arusha.

Dah! inakatisha tamaa na kuogopesha kwa sie tunaopenda kula tunda kimasihara..yani kimasihara unashushiwa mvua ya mawe
😂nimecheka sana
ila binti huyo ni mpuuzi ona sasa ameshaanikwa na watu wanamjua leo nimeona wanapanga wampeleke kwa Muddy achunge sana atafanyiwa mbaya
ila naamini mdude atatoka Mwaka huu maana Meko harudi Ofisini hata tukimpambanisha na Le mutuz
 

Hahahah aisee....

Ila huyo binti kama ni kweli wazee walimtumia wamlinde bhana, maana wahuni sio watu wazuri.
 
SUMU ya NYIGU atatoka tu,nani alikwambia Maria Srungi yupo nje ya nchi? Njoo bahari beach umuone kajaa tele!! Mbona Fatma Karume naye yupo TZ? Mdude atatoka kuendeleza MAPAMBANO.
 
Tatizo ni kichwani! Hajawahi kusoma novel za kijasusi, hajawahi kusoma magazeti ya maana. Akipewa likes JF anatafuta urafiki! Mmmmhh!
 
Alikuwa anafanya Jambo la hatarii sanaa...! Alitakiwa awe nchi za nje huko wakati anafanya hayaa lakini duu kajichanganyaa mzeee...huruma sana atafungwa mpaka mzee baba amalize muda wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu angekulaje tunda kimasihara kama angelikuwa nje ya nchi.

Sema mdude harakati alizidisha +lugha za kuuzi kwa viongozi, hawa viongozi wanapaswa kukosolewa lakini tutumie lugha isiyo hudhi ukizingatia nao pia binadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…