Tutajuaje kama na yeye mdude hakuwa mshiriki wa hiyo biashara.? Mtu anakutumia tu 1.7 ysawa huu tena mwanamke hujui kaitoa wapi na hujafanya nae dili? Sio kweli. Hiyo 1.7 mil ni sehemu ya biashara zao. Sema hatujajua miamala mingine waliyotumiana.
Dah!..hiyo ni ajali kaziniKwa mfano tuseme kweli kategwa kama alivyosema mababe wa twitter.
Hivi unawezaje kushitukia mchezo kama binti anatokea jimboni kwa mbunge wa CHADEMA, jimbo linalo dhaniwa hicho chama kina nguvu sana kuliko mahali popote duniani?
Mrembo anaigiza CHADEMA in blood, na anajitambulisha ni wa makabila yale ambayo CHADEMA iko damuni, huku akirusha mapicha au twitt kibao za kichadema?
Anakusifia kwa ujasriri wako wa ajabu kuongea lolote dhidi ya dola na mwenye kushika dola.
Anakupa pole na kukuonesha nia ya kukupunguzia machungu ya kutenguliwa nyonga ama 'center bolt' kama alivyo wahi kuiita mdudde mwenyewe. Kisha anakurushia muamla 1M na kitu tarehe hizi ngumu kiuchumi.
Ukimcheki mtoto mwenyewe pengine kwa mtazamo wako (sio wangu) mzuri balaa anakuahidi kuja kukutunuku tufaa(apple) lililomponza adamu.
Tuwe wakweli jamani hivi nani kati yetu angechomoka huo mtego hasa sisi wenye kipato cha kawaida kama mdude?
Tuache kumdhihaki mdude, tuache unafiki tuwe wakweli na tuseme kamanda imemkuta ajali kazini kama nzi kufia kwenye kidonda.
Zingatia elimu na umri wa Mdude kabla huja mhukumu au kumdharau kunasa kijinga hata kwa yale aliyokuwa anatuma mitandaoni bila tahadhari au kufanya yale yaliyo pelekea kuingia mikononi mwa vyombo vya sheria.
Hivi we na akili na shughuli zako za uant govt unakutanaje na mtu kienyeji na kuruhusu miamala kama hiyo kwenye simu yako.?Kwa mfano tuseme kweli kategwa kama alivyosema mababe wa twitter.
Hivi unawezaje kushitukia mchezo kama binti anatokea jimboni kwa mbunge wa CHADEMA, jimbo linalo dhaniwa hicho chama kina nguvu sana kuliko mahali popote duniani?
Mrembo anaigiza CHADEMA in blood, na anajitambulisha ni wa makabila yale ambayo CHADEMA iko damuni, huku akirusha mapicha au twitt kibao za kichadema?
Anakusifia kwa ujasriri wako wa ajabu kuongea lolote dhidi ya dola na mwenye kushika dola.
Anakupa pole na kukuonesha nia ya kukupunguzia machungu ya kutenguliwa nyonga ama 'center bolt' kama alivyo wahi kuiita mdudde mwenyewe. Kisha anakurushia muamla 1M na kitu tarehe hizi ngumu kiuchumi.
Ukimcheki mtoto mwenyewe pengine kwa mtazamo wako (sio wangu) mzuri balaa anakuahidi kuja kukutunuku tufaa(apple) lililomponza adamu.
Tuwe wakweli jamani hivi nani kati yetu angechomoka huo mtego hasa sisi wenye kipato cha kawaida kama mdude?
Tuache kumdhihaki mdude, tuache unafiki tuwe wakweli na tuseme kamanda imemkuta ajali kazini kama nzi kufia kwenye kidonda.
Zingatia elimu na umri wa Mdude kabla huja mhukumu au kumdharau kunasa kijinga hata kwa yale aliyokuwa anatuma mitandaoni bila tahadhari au kufanya yale yaliyo pelekea kuingia mikononi mwa vyombo vya sheria.
Mtamsafisha kwa kila sabuni Ila haitafuta kuwa kakamatwa na madawa ya kulevya tunasubiri tu taarifa rasmi huu msukule ni Teja au Ni pusher+ kifungo Chake
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo kupenda sana likes za mitandaoni na kujiona mwamba kuwa na marafiki 5,000 wanaondika kwenye page yake,haya kiko wapi?ataenda jela miaka mitano baada ya Magufuli ikiisha huyu atatolewa but muda umeshapotea na ni hatari sana kijana unayetafuta maisha kuwa nje ya uwanja wako kwa muda huo ukirudi hujui utaanzia wapi....utapagawa!!!Nadhani hakuwa anajua anachokifanya,hakujua maana ya mwanaharakati na misingi yake.......
Usidhani wanawake wote chupi zao zimetoboka kama yako.Tutajuaje kama na yeye mdude hakuwa mshiriki wa hiyo biashara.? Mtu anakutumia tu 1.7 ysawa huu tena mwanamke hujui kaitoa wapi na hujafanya nae dili? Sio kweli. Hiyo 1.7 mil ni sehemu ya biashara zao. Sema hatujajua miamala mingine waliyotumiana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaana gani tunaposema binti wa watu?. Kama mdude ni muuzaji na binti ni mnunuaji kwanini umwone binti hana kosa mpk kumwita eti binti wa watu!!!Sio kweli kuwa huyo binti nfiye alimuwrkea madawa mdude issue Ni hivi mdude alikuwa akifanya biashara ya madawa ya kulevya unamtumia pesa kwanza Halafu unaambiwa njoo uchukue mzigo binti wa watu akatuma pesa akaufuata mzigo kumbe polisi walikuwa wakimfuatilia mdude kwa muda mrefu akanaswa binti alikuwa Bado hajafika kuchukua mzigo akauuze Arusha
Huyo ni muuza madawa ya kulevya kama alivyo Mbowe wala msisingizie.For whatever reason,mkosoaji ni mkosoaji!
Ana haki zake sawia
Siwezi kua hapa nashabikia pure uonevu kutoka kwa oppressing govt kwa innocent victims
Instead the same govt inatakiwa ilinde haki za wakosoaji hao hao
Sad ni kinyume!
Hii stupid move ya uonevu by this oppressing govt imeichafua na chuki level imeongezeka against it,next level!
Sijui akili mnaweka wapi?
Kazi zenu za kuendesha hii nchi ni kubwa maajabu mnapata muda wa kuonea powerless critics who are doing their job
Mdude kazi yaje kupojea mzigo kutokea Zambia na Malawi na Congo na kuupeleka sokoni Arusha kuna mbunge Lema naye Wa kufuatiliwaHuyo ni muuza madawa ya kulevya kama alivyo Mbowe wala msisingizie.
Kwa sababu huna anaekutegemea,siyo kosa lako.Duuh, kusema ukweli kwa hako ka binti kalivyo halafu kakutumie mihela kibao na kukupa mzigo wiki mbili hata mm nisinge chomoa, walahii boro nifie magereza kuliko kukakosa hako.
Sent using Jamii Forums mobile app