Mdude ameuawa?

Inasikitisha sana Mkuu..
Sijui hata nani wa kujibu kuhusiana na mtanziko huu mkubwa wa alipo MDUDE CHADEMA..

Picha chafu za Gwajima zimevuja jana tu Leo Polisi tayari muafaka umeshapatikana..

Lakini huyu ndugu ametekwa toka jmosi mpaka sasa wahusika wapo kimya.
 
Kwa hali hii ya sintofahamu inayoendelea, huyu mtu hadi sasa ni mzima?, Je ameuawa?
Kwa kweli roho yangu inaumia sana yaani imekuwa baridi mno juu ya tukio hili la kutekwa na kutoonekana kwa huyu jamaa!.
What is going on kwa huyu kijana, Je ameuliwa?
Mumgu msaidie, lakni kwa hali tuliyonayo hapa kwetu, sijui kama yuko hai. kama international community haitaingilia, basi tutauawa wengi! Lisu nakupa mzigo huo uubebe. Huku nyumbani usije zunguka dunia ukiihimiza iingilie kati katika gross violation of human rights in Tanzania! Likifanikiwa hilo, basi nakuapia you are the next president!
 
wakimaliza wanahamia ikulu
 
Wakimaliza wapinzani wa kisiasa wataanza kulana nyama wao kwa wao.
Wakati wa bunge la katiba kuna watu tuliwaambia mnatatengeneza nchi ya ajabu bila katiba mpya wakabisha, leo na wao wanalia ingawa wapo ndani ya CCM.
 
Kama wamemuua huyu kijana basi wamefanya mistake kubwa mno!. Sidhani kama katika hili wata go away easily!. Hawa watu mikono yao imeloa damu, ni wanyama hawa siyo binadamu kabisa

Thus kila wafanyalo linabuma sababu ya damu za watu.Yaani tembo unapambana Na sisimizi.Ukishamwaga damu za watu hakuna mradi wowote utakaofanikiwa
 
Ukiwa msukuma, halafu mshamba, halafu ni mwana CCM, lazima Uwe mchawi, muuaji na mtesaji.
Gamboshi is for real

Ukisoma historia ya ukoloni thus akuwaendeleza kielimu aliona ni hasara Kazi za matumizi ya akili huwa hawwawezi zaidi za nguvu nguvu thus walitumika kama makuli,manamba mashambani,hata nyerere alitaadharisha kuhusu haya makabila
 
Kama wamemuua huyu kijana basi wamefanya mistake kubwa mno!. Sidhani kama katika hili wata go away easily!. Hawa watu mikono yao imeloa damu, ni wanyama hawa siyo binadamu kabisa

..Mdude Nyagali alilishitaki jeshi la Polisi kwa tume ya haki za binaadamu.

..pia alifungua kesi dhidi ya askari waliotesa ambao anawajua kwa majina na force number zao, Igp, na mwanasheria mkuu wa serekali.

..kesi yake imesajiliwa mahakamani na ilitarajiwa itatajwa na kuanza kusikilizwa hivi karibuni.
 
CHADEMA imejaa wanafiki tupu, hivi mlishindwa kumkanya mapema kwamba akosoe bila kutukana? Mlikua mnafurahia matusi yake saivi mnavimbisha midomo ee, mimi nasema hivi wamsurubishe tu maana hana adabu na hana watu wanao mtegemea mpuuzi mkubwa
 
Pia ndugu yetu Ben Saanane.
Inasikitisha. Ben ndo alikuwa mhanga wa kwanza,bora yeye hakujua hii serikali ya sasa ni makatili hadi hawaoni shaka kumtoa mhanga yeyote anaewapinga waziwazi.
 
Reactions: BAK


Atafnguaje kesi wakati yeye mwenyewe ni wa kufungua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…