Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Neno adabu lina herufi tano tu, lakini upana wa maana yake unaweza ukatungiwa vitabu zaidi ya kimoja.Mtoa uzi picha hiyo inasadifu akili yako kuwa ulichoweka humo huende ndo kipo kichwani mwako kwa uandishi huu.
Upo utoaji wa maoni na yapo matusi, hivyo ni vitu viwili tofauti. Kizazi cha leo na kesho, vinapaswa kuifahamu maana pana ya uhuru wa habari.
Ukijifanya kichaa watu wanakushughulikia kwa jinsi unavyojiweka mbele ya jamii.