mdosi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mdosi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by cheusimangala, Jun 3, 2011.

 1. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  KIJANA WA KIDOSI BAADA YA KUMALIZA TUITION YA KISWAHILI, ANAJIBU IFUATAVYO:

  (1) Mfa maji?… tampa life jacket.
  (2) Mwenda pole?…tachelewa fika.
  (3) Usipoziba ufa ?…mizi taona mpaka dani.
  (4) Usilolijua?…uliza google.com.
  (5) Mbio za utelezini?…chafua guo yako.
  (6) Ukipenda boga?…ngoja mezi ya ramzani tapata.
  (7) Ukiona vinaelea?…iko nyepesi hiyo.
  (8) Maji yakimwagika?…mambie dada ta-deki.
  (9) Chelewa chelewa?…takosa guo ya sikukuu…..
  (10) Kila ndege .....? Hutua Airport
  (11) Bandu bandu ....? Rafiki yake Juma
  (12) Mtaka cha Mvunguni ....? Bi
  nua tanda
  (13) Simba mwenda kimya .....? Kama sio gonjwa basi ina njaa
  (14) Aisifuye mvua ....? Mkulima
  (15) Barabara ndefu ....? Ongeza mwendo, tachelewa fika
  (16) Mlanawe hafi nawe ila .....? Takimbia
  (17) Asie sikia la mkuu ....? Tapeka jela
  (18) Hasira za mkizi ....? Tatafuna veve
  19) Mchamba wima ....? Karibu ya Hurumzi
  (20) Akumurikae mchana ....? Kipofu
  (21) Mficha maradhi ....?Taenda Loliondo
  (22) Mkataa wingi ....? Taenda Chadema
  23)
  Bendera ....? Kama sio ya CCM, ya CUF
  (24) Baniani mbaya ....? Sio kweli, naonea tu
  (25) Akili nyingi ….? Tapasi mtihani

  (26) Penye kuku wengi? ........ Chija bili tatu ivi
   
 2. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mdosi full bila chenga, ha ha ha ha
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  :biggrin1::biggrin1: ngoja nkaanze w/end sasa :biggrin1::biggrin1:
   
 4. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ila ningekua ticha wake nisingempa sifuri,katumia akili sana:biggrin1:,
  majibu yake yana make sense:biggrin1:
   
Loading...