Mdomo umeenda pembeni, anayejua dawa anisaidie

MKUU POLE SANA ,,, VIPI UNA UMRI GANI ??? JE UNAPATA TATIZO LA KUFUMBA NA KUFUMBUA MACHO ??? CAN YOU WRINKLE UR FOREHEAD ON THAT SIDE ????? .

KAMA NDIO UNAWEZA UKAWA NATATIZO LA Bell's palsy, au palalaizi ya muda mfupi . hii inatokea km kuna irritation ktk Neva za uson ambazo ndizo responsible kwaajili ya kuongoza misuli ya uso lkn pia yaweza sababishwa na irritation ktk spinal cord au in brain .

KWAUFUPI,, WAHI MAPEMA HOSPITAL ILI UPATE MATIBABU KUEPUSHA MADHARA MENGINE ZAIDI ..KINYUME NAHAPO UTAJAWA NA WASI WASI NAAKUANZA KUKUMBUKA ILE SIKU ULOTEMBEA NA MKE WAMTU ( hahahah kidding)

WAHI hospital mkuuu.
 
Mkuu mimi pia nilishawahi pata tatizo kama hilo nilikwenda Hospital na kienyeji hata sijui nlliponea wapi ila ukitoka hospital nenda Bunju A kwa Jumbe pale karibu na stendi muulize mzee Mbonde ni mzee maalrufu si mganga ila alinisaidia so ingia kwa gia ya kusaidiwa, dunia hii kuna wazee wanajua dawa ila wengine huwa hawataki kujulikana kama wanajua , so nenda ki hekima, na wala hata kuambia pesa ila utampatia zawadi yoyote maana ni mzee sana, siko Dar kwa sasa otherwise ningekupeleka
 
Ndugu yangu nami nilikuwa na tatizo Kam
a hill, niliangaika sana na atimaye nilipata ufumbuzi, Kwa faida yako nifuate "INBOX" Nitakusaidia bure bila shaka Mungu atakuponya, Vinginevyo utatumia gharama kubwa bila ya mafanikio.
weka hapa hayo matibabu kwa faida ya wote
 
Muache kumsema sema vibaya mkuu wa nchi!ona sasa mdomo umetendwa!-utani tu ila on serious note mkuu mild stroke hiyo jiwahibkwa wataalam wa maginjwa ya moyo asikupotezee muda mtu yeyote na kuanzia sasa afya yako style yako ya maisha iwe kwa mpango maalum yaani unakulaje unalalaje unashindaje kwa michorobba ratiba ya kueleweka sio vile unavyojisikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu nami nilikuwa na tatizo Kam
a hill, niliangaika sana na atimaye nilipata ufumbuzi, Kwa faida yako nifuate "INBOX" Nitakusaidia bure bila shaka Mungu atakuponya, Vinginevyo utatumia gharama kubwa bila ya mafanikio.
Wekeni hapa ili msaidie na wengine jamani.
 
Back
Top Bottom