PreGE2025 Mdomo huponza kichwa - Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
11,763
Reaction score
27,149
Kama mtanzania ambaye nimempigia kura Mheshimiwa Lissu mara mbili kwenye chaguzi zilizopita (jimboni na uraisi), naamini hajafanya kosa la uhaini na hayo ni mashtaka ni ya kutengeneza na hewa, THAT BEING SAID sikubaliani na kauli ambazo Mh. Lissu amekua anazitoa kwenye mikutano hivi karibuni, sababu si za busara.

Naona kila mtu ambaye hakubaliani na umma wa mitandaoni anashambuliwa, tunakosa ukomavu kwa kisiasa wa kuchambua hoja bila kebehi na matusi. Mitandao ina tabia ya kutengeneza echo chambers za kusikia yale tu tunayotaka kusikia na kujiaminisha kuhusu usahihi wake.

Si lazima tuchukue yote wanayofanya viongozi wetu bila kuchuja, kukosoa, kushauri au kupinga.

Vitu viwili vinaweza kuwa sahihi kwa wakati mmoja.
  1. Mh. Lissu amefunguliwa mashtaka hewa ya kuzuia harakati zake kisiasa na hili si jambo sahihi wala la kufumbia macho. 

  2. Mh. Lissu akosolewe asiendelee kutoa kauli ambazo hazina afya kwa taifa letu, hasa kama kweli tunataka mabadiliko bila machafuko.

CCM wamefanya hizi siasa za uchawa na “ndiyo mzee” na sasa tunataka mbadala wao. Naona kuna watu wanalazimisha upande wa upinzani uelekea kule kule ambapo tumekua tunakupinga kwa chama tawala. 

Unakubaliana na haya au lah, jibu kwa hoja na si mihemuko. Kama unaamini mabadiliko lazima yaambatane na machafuko au vurugu, then tueleweshe kwanini ni lazima iwe hivyo!

Soma pia:
Uchambuzi wa Kisheria juu ya Hati ya Mashtaka ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu
 
EchoChambers copy.png

Mdogo wangu makutupora njoo utie neno
 
Dah ngoja kwanza nicheke haha!
Kisha nisikitike duh aisee!
Mshangazi arudi kwa kishindo round hii mama ameupiga mwingi, kumbe ukimya wote ulienda kujifua kisiasa, unataka ugombee viti maalum nini!
🙂
 
Watanzania hawako violent na hizo hisia za machafuko ni zako. CCM are taking advantage of using police- full stop.

Mahakama zipo pangua point tuone huo uongo au ukweli. Mtu kama anasema wewe ni mwizi unaiba mali za umma kwa nini yatokee machafuko? Nenda mahakamani shitaki. Police wangemshika Lissu kama kasababisha violence au machafuko.

Watu watafanyaje siasa bila kutaja uovu wa watawala. Ukweli lazima usemwe
 
Mpwa, tushakubaliana uchaguzi 2025 hatushiriki, viti maalum nitarudi kuvimendea 2030.
 
Haaahaa

Huku tuwaachie kina Lucas, tlaatlaah na kina. Choice variable, paschal mayala, erythrocytes e.t.c

Nyuzi za kuifinyia kwa ndani, mbuzi kagoma, popo kanyea mbingu e.t.c wewe utusaidie huko.
Sawa jioni nitakuandikia uzi maalum wa mkao wa Royal tour na mbinuko wa okota hela uvunguni.
Ila kwenye huu uzi tubaki kwenye siasa kidogo 😆 😆 😂 !
 
Kama mtanzania ambaye nimempigia kura Mheshimiwa Lissu mara mbili kwenye chaguzi zilizopita (jimboni na uraisi), naamini hajafanya kosa la uhaini na hayo ni mashtaka ni ya kutengeneza na hewa, THAT BEING SAID sikubaliani na kauli ambazo Mh. Lissu amekua anazitoa kwenye mikutano hivi karibuni, sababu si za busara.

Naona kila mtu ambaye hakubaliani na umma wa mitandaoni anashambuliwa, tunakosa ukomavu kwa kisiasa wa kuchambua hoja bila kebehi na matusi. Mitandao ina tabia ya kutengeneza echo chambers za kusikia yale tu tunayotaka kusikia na kujiaminisha kuhusu usahihi wake.

Si lazima tuchukue yote wanayofanya viongozi wetu bila kuchuja, kukosoa, kushauri au kupinga.

Vitu viwili vinaweza kuwa sahihi kwa wakati mmoja.
  1. Mh. Lissu amefunguliwa mashtaka hewa ya kuzuia harakati zake kisiasa na hili si jambo sahihi wala la kufumbia macho. 

  2. Mh. Lissu akosolewe asiendelee kutoa kauli ambazo hazina afya kwa taifa letu, hasa kama kweli tunataka mabadiliko bila machafuko.

CCM wamefanya hizi siasa za uchawa na “ndiyo mzee” na sasa tunataka mbadala wao. Naona kuna watu wanalazimisha upande wa upinzani uelekea kule kule ambapo tumekua tunakupinga kwa chama tawala. 

Unakubaliana na haya au lah, jibu kwa hoja na si mihemuko. Kama unaamini mabadiliko lazima yaambatane na machafuko au vurugu, then tueleweshe kwanini ni lazima iwe hivyo!

Soma pia:
Uchambuzi wa Kisheria juu ya Hati ya Mashtaka ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu
Lisu ni shetani kabisa, Watanzania wazalendo hatumpendi kabisa tangu aanze kumchafua Magufuli kwa kumsingizia kwamba alimpiga risasi, sisi kanda ya ziwa tunamuona ni mbwa tu. Hata haya ya kukamatwa ni madogo tunaomba yampate maubwa zaidi ya haya
 
Watanzania hawako violent na hizo hisia za machafuko ni zako. CCM are taking advantage of using police- full stop.

Mahakama zipo pangua point tuone huo uongo au ukweli. Mtu kama anasema wewe ni mwizi unaiba mali za umma kwa nini yatokee machafuko? Nenda mahakamani shitaki. Police wangemshika Lissu kama kasababisha violence au machafuko.

Watu watafanyaje siasa bila kutaja uovu wa watawala. Ukweli lazima usemwe
Nakubaliana na wewe kuhusu nafasi ya mahakama. Ila wakati mwingine mahakama inatumiwa vibaya kupoteza muda na kupoza vuguvugu la kisiasa; na nafikiri hicho ndiyo kinachoendelea kwa sasa na Mh. Lissu.

Ila pia nafikiri kauli kama ile iliyowekwa kwenye hati yake ya mashtaka, haichochei amani wala mabadiliko bila machafuko.
 
Back
Top Bottom