Mdogo wenu naomba ushauri wenu katika suala hili la elimu

asante sana mie ni member tangu enzi za jambo forums wakati nilipo maliza darasa la saba

Aisee! Hongera. Mi kompyuta nimeigusa baada ya kumaliza A level.

Ila ukianza chuo, usiendekeze sana JF. Utakuwa addicted then wahadhiri watakuchezesha disco.

then ingia web ya tcu uchukue namba ya simu ujaribu kuongea nao.sua competition sio kubwa sana coz watu wanaogopa masomo ya sayansi.kuna courses nyingi sana ambazo sio za kilimo.ingia na web yao pia ujionee,hadi tourism wanatoa.pia kupata mkopo wa bodi ni rahisi kuliko makerere etc.life is what u make out of it,all the best

Dar mbali mie nipo tukuyu now

hao walimu wenyewe ndo wamejaa humu jf.kuna siku niliingia ofc ya prof mmoja,nikakuta anachangia mada humu.basi kila nikiona posts zake nacheeka! kama ana akili ya kupiga msele yy ajimwage tu humu jf awe anapata appetite ya kufanya test!

We King'asti unamshauri vibaya dogo...umesahau maprof huwa hawadisco?.....huyu dogo akifanya masihara watamla vichwa...JF si kitu cha mchezo. Wenzio tunalaza viporo vya kazi, kisa JF. Sasa akiwa addicted kama sisi watamuacha?

then ingia web ya tcu uchukue namba ya simu ujaribu kuongea nao.sua competition sio kubwa sana coz watu wanaogopa masomo ya sayansi.kuna courses nyingi sana ambazo sio za kilimo.ingia na web yao pia ujionee,hadi tourism wanatoa.pia kupata mkopo wa bodi ni rahisi kuliko makerere etc.life is what u make out of it,all the best
shukran nitajaribu kupitia pitia hiyo kitu TCU

sasa babu unataka kuisingizia jf,ww namjua mtesi wako ni nyagi na kina eliza.jf haina hangover,kijana ajivinjari tu akimaliza anapiga msuli shule inaendelea.ndo maana nimem-caution.watu wanakuwa jf,kazini na wanasoma elimu ya watu wazima na wanadunda tu,inategemea kama akili ya kupepea ama vipi.

We King'asti unamshauri vibaya dogo...umesahau maprof huwa hawadisco?.....huyu dogo akifanya masihara watamla vichwa...JF si kitu cha mchezo. Wenzio tunalaza viporo vya kazi, kisa JF. Sasa akiwa addicted kama sisi watamuacha?

sasa babu unataka kuisingizia jf,ww namjua mtesi wako ni nyagi na kina eliza.jf haina hangover,kijana ajivinjari tu akimaliza anapiga msuli shule inaendelea.ndo maana nimem-caution.watu wanakuwa jf,kazini na wanasoma elimu ya watu wazima na wanadunda tu,inategemea kama akili ya kupepea ama vipi.
Bt mbøna kwa hii miaka kama mitano hvi ndan ya Jf cja kuwa adicted

Wana JF,nilkuwa nahtaj ushaur wa course ya kusoma Kwa Point hizi 2 ya 12, HKL (D,D,D) je course zp kuna uwezekano nkapata Udsm, m napendezwa na PSPA,LAW, , je course nyengne n zp nzur kulingana na score zangu, na ushaur wa vyuo vingine.
Nawasilisha.

Kwa hzo score, Law, PSPA za Mzumbe, Ubungo sahau. Kama unapenda chuo zaidi njoo B.A Kiswahili ya UDSM. Iko poa, ajira za ulaya nje nje, afu na kakako nitakuwepo kukupa mwongozo na hadidu za rejea(hata sijui maana yake)

ok! Thnx kwa ushaur wako. vp Public relation ? Na udom naweza pata?

Ni ngumu sana kukushauri mdogo wangu uchukue fani gani kwani hatujui interest yako.
kwa kifupi mtu anaenda soma kitu moyo wake wapenda na ataifurahia kozi yake na kazi kwa ujumla.
kama wapenda kufundisha then nenda ualimu.
kama wapenda siasa then kasome political science.
kama wapenda sheria kapige LLB.
kama wapenda isssues za kijamii then sociology inakusubiri.
kama wapenda utalii then bachelor ya tourism ni yako.
kama wapenda uchumi kasome bachelor ya economics.
kama wapenda uhasibu siku hizi kuna bachelor ya Accounts.
ukishaamua kupitia vigezo hivyo then ndio waweza rudi na kuuliza waungwana hawa kuwa nimechagua kwenda kusoma fani hii naombeni mnishauri chuo gani kinafundisha vyema kozi husika.
naomba kuwasilisha.

Aslaam alaykum wana Jamvi wa Jf.
Nahitaji kujiunga katika ulimwengu wa elimu ya juu kwa mwaka 2011-2012.
Naomba mnishauri ni some fani ipi na katika chuo gani kulingana na pass mark zangu za O-level na A-level. Kama ifuatavyo
O-LEVEL:DIV-III point 23 Hist-C , Geo-D ,ENG-C, Bios-B, Kisw-C, Math-D, Civ-C.
A-LEVEL: Comb-HGE
DIV-I point 7.
Hist-C, Geo-B, Eco-B, Gs-S, BAM-F.
Mapendeleo yangu: Mzumbe,UDSM,SUA
naomba kuwasilisha
Kwanza nikupe hongera kwa kufanya vizuri. Cha msingi ni wewe mwenyewe unapenda kuwa nani hapo baadae, sasa kama hujui, nakushauri ukasome Law au Huma
n Resource Management, ila hata Bcom si mbaya. Ila unapofika chuo kikuu si lazima sana ukasome course inayoendana na combination uliyosoma A'level, jikague tu unapenda kuwa nani in future hii itakusaidia kufanya the right decision.

asante kwa ushauri wako mzuri

Soma kitu unachokipenda maisha, kitu ulichokuwa unakiwaza tangu ulipokuwa mdogo, ambacho utakifanya kwa kufurahia na siyo kusoma kitu basi tu kwa sababu pass mark zako zimeruhusu. Kama field unayoipenda hujafaulu, then rudia au anza na certificate, maana hakuna kitu kinachochosha akili kama kufanya kazi ambayo huifurahii, unakuwa kama mtumwa

Soma kitu unachokipenda maishani, kitu ulichokuwa unakiwaza tangu ulipokuwa mdogo, ambacho utakifanya kwa kufurahia na siyo kusoma kitu basi tu kwa sababu pass mark zako zimeruhusu. Kama field unayoipenda hujafaulu, then rudia au anza na certificate, maana hakuna kitu kinachochosha akili kama kufanya kazi ambayo huifurahii, unakuwa kama mtumwa

duh!! Hapo patakua pagumu bt thanx

vip kuhusu logistic management?
unajua shida inakuja wapi? Nimeajaribu kuangalia matokeo yake ana principal pass za comb ila tatizo bam na basic maths ya olevel angekuwa ana c o-level ya maths ingekuwa ni vizuri sana maana hata hii logistic management ni kozi ambayo ina maths kimtindo na nimejaribu kuifuatilia kwa karibu kwani ni kozi ambayo mi narecommend watu wasome ukiangalia uhalisia wa sasa. Hii kozi nimeiona nit(chuo cha usafirisaji) mzumbe na saut sasa anaweza kuomba hiyo kozi kama choice ya kwanza lakini pitia kile kitabu cha tcu (cas) kinamuongozo wavyuo vyote na cut off point za kila kozi .

Vip ukiwa na 2 ya 12 (hkl), uka apply Udom course hiz Public adm, international relation,bachelor of project planning,managment and social dev., kuna uwezekano wa kupata?

Similar Discussions

Back
Top Bottom