Mdogo wangu (mtoto wa mama mdogo) amefariki na mwili wake wakutwa Mbezi ya Kimara

Wakuu, nimepokea taarifa za msiba wa mdogo wangu nimeambiwa mwili wake umeokotwa Mbezi na una majeraha sehemu za kichwa, ila kwa sasa mwili upo hospital. Mpaka sasa hatujajua sababu ya kifo chake.
Huyu?
IMG-20240108-WA0074.jpg
 
Mdogo ako wa kike au kiume
Ameokotwa lini?
ALikua akiishi wap na nani?
Ana umri gani?
Shughuli yake ni nini?
Alipotea lini?
Mlitoa taarifa wapi za kupotea?

Mkuu mbona unatuchanganya badala ya kuleta habar kamili??

NB
pole kwa msiba
Ni wa kiume na mwili wake umeonekana leo hospital(ipo Mbezi) mzazi alipigiwa simu baada ya kumtafuta polisi na baadhi ya hospital bila mafanikio na umri wake ni under 28
 
Back
Top Bottom