Mdogo wangu katangaza ndoa na x wangu.

Mdogo wangu katangaza ndoa na x wangu.

Kaaa kimya tna funga mdomo mapenz ni yao wewe hayakuhusu kabisa
 
hata stori hatuna mwaka wa tatu huu zaidi ya salaam basi.

unafikiri atakuwa na furaha wakati umeleta mwanamke mwingine ndani....? kwakuwa amepiga kimya nawe piga kimya huyo ni shemegio tena....
 
sawa sina mahusiano naye tokea 2011 lakini nimepata taarifa wakati wameshapangiwa tarehe ya kutoa mahari( next two week) huoni kama litaleta zogo tena kwa wife akijua? ikizingatiwa pia ni mtoto wa mwenye nyumba.

ina maana ulitembea na huyo mdada ukiwa tayari umeoa? unaweza ukaongea nae ndugu yako wawili tu kama wanaume, alafu usiwe serious saana as if htaki hiyo ndoa itokee mwambie tu kishkaji then ibaki siri yanu. unaweza kumwambia tu niliwahi kutoka nae yani ionekana kidogo tu. mamabo haya ya yakaida tu yanatokea so muongee tu kiutu uzima ataelewa na wala huna kosa lolote. kama unahisi ngumu uchune yatapita
 
Kwani kuwa X wako kunamnyima sifa ya kuwa mke?
Maamuzi yako ya kumficha mkeo yasiwanyime wenzio uhuru wa kuoana. Nawe una hatari mkuu,yaani X ni mtoto wa mwenye nyumba wako halafu unamficha mkeo!! Huyo bint ni mstaarabu sana(ingawa sijui mliachanaje) ila ulikuwa una risk sana!!
 
sawa sina mahusiano naye tokea 2011 lakini nimepata taarifa wakati wameshapangiwa tarehe ya kutoa mahari( next two week) huoni kama litaleta zogo tena kwa wife akijua? ikizingatiwa pia ni mtoto wa mwenye nyumba.

jibu unalo sasa unataka nini?
 
kumbuka nimeoa tayari na mtoto mmoja yakivuja je? wakati sikumpa taarifa wife za huyo mdada?

sikiliza mtu watu wa UKAWA, usijaribu kumwambia huyo mdogo wako hata siku moja ila huyo dada anayeolewa mwambie nae asimwambie jamaa hata mara moja na kama alishamwambia hapo na wewe unaweza kumwambia dogo maana atakuwa amejua ila amehamua kusonga mbele. Kama ukimwambia mdogo wako muakikishie kuwa utamheshimu mkewe kama shemeji yake.

Pole sana ndio mambo ya duniani hayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom