King'asti na Faiza sidhani kama mnakoelekea mtamaliza. BTW Hivi kubadili dini ndo suluhisho eenh! Hizi dini zisitufanye tushindwe kutumia common sense Kha!
Kila kitu dini dini waliotuletea wenyewe wanaendelea ila sisi zinatuwehusha.
kuna mdau kazungumzia umuhimu wa kusikia side b ya jambo hili..
lakini bado naona haitamsafisha huyu mama.. hata kama mumewe alikuwa na mapungufu, alikosa wanaume wengine? .. usaliti na shemeji tena katika kitanda chake na mumewe... WTF (Whats up Twiter Facebook).
Okay madaam the only solution is Islam! Happy?Common sense yako haina common yoyote. Ungekuwa na common sense usingehororoja utumbo humu.
Tazama posts zilizoletwa humu, kuna common sense uliyoiona?
The only solution in this situation is Islam, Ukristo hauna njia a kutatua tatizo hili, kama unalo liweke. Your common sense is not so common because the common failed to be common.
Mimi huko juu nimeweka vipi Uislam unatatua tatizo hilo in a second. Without even thinking.
Teh teh ! Yes ma'amOf course, huyo mkewe kishaliwa na mdogo wake "live", sasa niambie suluhisho alilonalo Kikristo.
umeenda mbali!kILL HIM AND HER. THIS IS THE ONLY BEST ADVICE THATS AVAILABLE FOR YOU!
Temana na huyo mwanamke; sio tu kuwa hakupendi bali pia hakuheshimu wala "she does not give a f.uck about you". huo ndio ukweli mchungu na hakuna jinsi kaka mkubwa inabidi uumeze hivyo hivyo. Nitatoa sababu kwa nini nasema hivyo.
1. Angekuwa anakupenda angejituliza, asingehangaika na michepuko, let alone mdogo wako.
2. Hakuheshimu pia kwa sababu angekuwa hakupendi lakini anakuheshimu angetafuta mwanaume mwingine lakini si mdogo wako, kitendo cha yeye kulala na mdogo wako maana yake ni kuwa hakuheshimu.
3. She does not give a fu.ck about you ndio maana sio tu kalala na mdogo wako, bali amefanya hivyo kwenye nyumba yenu(probably kitanda chenu); hapa amekuvua nguo kweupe pee....
4. Pamoja na yote hayo kupigilia msumari kwenye jeneza amezini na mdogo wako bila condom mpaka ametiwa.mimba... wakati akiwa na wewe mnatumia condom; huyo si mwanamke wa kuishi nae atakuua kwa UKIMWI.
Kaka, huyo si tu kwamba si mke, bali pia si mwanamke wala si binadamu; ni nyoka aliyevaa ngozi ya binadamu.
Pia nakushauri ukacheki afya yako ukapime ngoma maana kama amelala na mdogo wako, there is a good possibility ameshakitembeza sana huko mitaani.
Kuhusu huyo mdogo wako nae ni basi tu kuwa hamuwezi kuvunja undugu ila huyo nae ni shetani.... ibaki tu kuwa ni ndugu yako kibaiolojia.
Okay madaam the only solution is Islam! Happy?
Happy indeed, no choice, not only in this situation but in any situation.
Fukuza kabisa huyo ni msaliti yaani umemfukuza mdogo wako umemwacha mzinzi na msaliti ndani ya nyumba nakushauri mfukuze kabisa ushauri pia kumbuka kusali sana upo ktk wakati mgumu maishani ila yakupasa ushinde