hebu tembelea hichi chuo cha uongozi wa mahakama lushoto... Welcome to Institute of Judicial Administration (IJA) Au unaweza kupata habari kuhusu mzumbe campus ya mbeya
Udsm school of law nao wanatoa ngazi cheti pia.
asante sna kwa msaada wko.
I concur.Udsm school of law nao wanatoa ngazi cheti pia.
Mzumbe University ni chuo kizuri sana Tanzania.