Kuna wajinga waliamini lile igizo la tesha.Yaleyale ya Captain Tesha
Hii nchi ina akiba kubwa sana ya majuha.
Kuna wajinga waliamini lile igizo la tesha.Yaleyale ya Captain Tesha
Haikuandikwa ili kumuaminisha yeyote ni wenge lako tuuni mpumbavu pekee ataamini hizi habari za kubumba
Ila siasa dahh!
Nilipoandika habari zile,hata wiki haikupita ( siku saba)wapishi wangu wamenunuliwa SUV .Jiridhishe kwanza ndo utuweke tango pori mzee.
Hivi bado unalindwa maana hao jamaa kuna siku watakuteka au wakupe sumu kabisa.