Mdogo wa rihanna

boy mzuri unamuulizia boy mwenzako!

Duh!
Kuna ubaya gan labda hapo mkuu.... Mbona nyie kutwa nzima kumuongelea diamond " stop nonsense mkuu hujui kilichonisukuma mpaka kuanzisha thread bora, ukakaa kmya ningekuona wa maana zaid
 
Kuna ubaya gan labda hapo mkuu.... Mbona nyie kutwa nzima kumuongelea diamond " stop nonsense mkuu hujui kilichonisukuma mpaka kuanzisha thread bora, ukakaa kmya ningekuona wa maana zaid

Mkuu ungeweka kilichokusukuma ingekuwa rahisi watu kujitolea kukusaidia kuipata kama wangeona kuna uzito.

Anyway boy mzuri, kila la kheri.
 
Ile picha ya kulia ukiangalia ki mubashara mubashara utaambulia kitu mzee mwenzangu Asprin
 
Mkuu ungeweka kilichokusukuma ingekuwa rahisi watu kujitolea kukusaidia kuipata kama wangeona kuna uzito.

Anyway boy mzuri, kila la kheri.
Iwe na uzito isiwe na uzito nachotaka ni account yake ,, ukiona haikuhusu pita kule [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kumbe nimekosea kuunganisha pica... maana nilichohtaji sjakpata na wala skutarajia haya
 
Hahahahah mdogo wake Rihanna kakua![emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…