mafarisayoo
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 1,332
- 958
bahati kama hizo ni chache mno. unapiga teke bakuli la dhahabu
Usifanye hivyo,hata kama huyo Ex wako alikuuma kiasi gani kwa kukuacha usifanye unyama huo! Maana unaweza ukaja ukasababisha maafa makubwa katika familia yao kwa sababu Dada mtu akijua atamchukia sana mdogo wake na kwa nini usababishe wafikie huko? Je wewe utapata faida gani labda? hebu kabla hujafanya jambo lolote fikiria mara 2 kama hicho kitendo watafanyiwa Dada zako je utakifurahia?Mimi na Ex wangu tuliachana kwa amani baada ya yeye kucheat akazama huko huko na hatimaye akaolewa(ingawa hana furaha na ndoa yake anatamani tuendelee, nikajikaza kiume nikamkanya akapunguza munkari).
Sasa huyu ex ana mdogo wake fulani wanafuatana, nae ni kisu kama dada ake, alianza figisu figisu baada ya kujua nmetemana na dada ake, mwanzoni nilijua ni utoto coz nimekazidi sana umri! Sasa speed imezidi, calls usiseme, kubeep beep ndo balaa!
Nkiamka tu nakuta sms zake mpaka nkahisi ni mtego labda dada ake anakatuma ili ajisafishe nafsi yake kwa jambo alonitendea, basi nkafanya mpango nkanasa whatsapp yake kwa kutumia 'whatsapp Web'.
Nkaanza kutembelea texts zake, nakuta akichat na dada yake ni salamu tu, labda na kumuomba pesa na kumpa habari za nyumbani baaasiii
Hapo nkaona kuwa amedhamiria, ubaya kama nlivosema dada mtu hana habari na lolote kwa mujibu wa whatsapp yake, pia katika conversation zake zote nmeona akichat mapenzi na kitoto chenzake ambapo naona hamna kitu kabisaaaa!!!
Sasa wakuu sijatoa hii thread kuomba ushauri ila kuomba kujulishwa kuwa kwa suala kama hili nikiamua kunyoosha goti kuna uvunjifu wa maadili? Au ambaye limemkuta jambo kama hili anisaidie majibu!!
Hataki ushauri mkuuUsifanye hivyo,hata kama huyo Ex wako alikuuma kiasi gani kwa kukuacha usifanye unyama huo! Maana unaweza ukaja ukasababisha maafa makubwa katika familia yao kwa sababu Dada mtu akijua atamchukia sana mdogo wake na kwa nini usababishe wafikie huko? Je wewe utapata faida gani labda? hebu kabla hujafanya jambo lolote fikiria mara 2 kama hicho kitendo watafanyiwa Dada zako je utakifurahia?
Kama sivyo, basi mweleze tu huyo shemeji yako kwamba mazoea yawe na kikomo chake, akupe heshima yako

Hata kama hataki ushauri ukweli tutamwambia tu Mkuu ,vijana wamepotoka sana siku hizi wanadhani kosa la mtu mmoja ni halali kwao kuiumiza familia yoteHataki ushauri mkuu![]()
![]()
![]()
Mimi na Ex wangu tuliachana kwa amani baada ya yeye kucheat akazama huko huko na hatimaye akaolewa(ingawa hana furaha na ndoa yake anatamani tuendelee, nikajikaza kiume nikamkanya akapunguza munkari).
Sasa huyu ex ana mdogo wake fulani wanafuatana, nae ni kisu kama dada ake, alianza figisu figisu baada ya kujua nmetemana na dada ake, mwanzoni nilijua ni utoto coz nimekazidi sana umri! Sasa speed imezidi, calls usiseme, kubeep beep ndo balaa!
Nkiamka tu nakuta sms zake mpaka nkahisi ni mtego labda dada ake anakatuma ili ajisafishe nafsi yake kwa jambo alonitendea, basi nkafanya mpango nkanasa whatsapp yake kwa kutumia 'whatsapp Web'.
Nkaanza kutembelea texts zake, nakuta akichat na dada yake ni salamu tu, labda na kumuomba pesa na kumpa habari za nyumbani baaasiii
Hapo nkaona kuwa amedhamiria, ubaya kama nlivosema dada mtu hana habari na lolote kwa mujibu wa whatsapp yake, pia katika conversation zake zote nmeona akichat mapenzi na kitoto chenzake ambapo naona hamna kitu kabisaaaa!!!
Sasa wakuu sijatoa hii thread kuomba ushauri ila kuomba kujulishwa kuwa kwa suala kama hili nikiamua kunyoosha goti kuna uvunjifu wa maadili? Au ambaye limemkuta jambo kama hili anisaidie majibu!!
Umeona eeKuna wanaume wanaochezea bahati = wapo
Ingekua ni upande wangu ningeandika Uzi huu nikiwa nipo kifuani maana hua sipnd mazoea kuzoeana kijingaKuna wanaume wanaochezea bahati = wapo