namshaur akapime DNA tu ambapo ni almost laki 3 hv
Utaratibu upoje mkuu?namshaur akapime DNA tu ambapo ni almost laki 3 hv
Very complicated mpaka apate kibali cha mahakama ndo afanye DNAUtaratibu upoje mkuu?
Kitanda akizai haramu alee tu
Very complicated mpaka apate kibali cha mahakama ndo afanye DNA
Dogo anataka kufungua kesi ya udanganyifu.
Very complicated mpaka apate kibali cha mahakama ndo afanye DNA
[/QUOT
Ht sio lzm kibali cha mahakama ... Unaweza kwenda police , ustawi wa jamii au kwa wakili sehemu hizi zote wanauwezo wa kukuandikia barua kwenda kwa mkemia mkuu wa serikali kupima DNA .
Hili suala tulisikie tu jamani. mdogo angu kabisa yamemkuta. Ipo hivi; mdogo angu alikuwa na mpenzi wake aitwae ireen. walikorofishana mwezi juni mwaka 2018 wakaachana. Mwezi novemba mwaka 2018 mdogo angu katika pita pita zake town akakutana na Ireen, wakapeana tena mawasiliano. wakaanza kuchart mara wakarudisha penzi. kwa maelezo ya mdogo angu na Ireen kuthibitisha kuwa walikutana kimwili tarehe 3 Desemba 2018. Baada ya wiki tatu Ireen akamwambia mdogo angu kuwa mjamzito. dogo akamchukua hadi hospitali kupima, akathibitika ni kweli. Mwezi february Ireen akaanza Clinic, tarehe yake ya makisio ni 20 August 2019.
Ireen 1 July 2019 ucku wa saa 2 kajifungua mtoto wa kike, mwenye afya njema kabisa. Mdogo angu kapagawa hatari,mtoto si wake. familia tumemtaka awe mvumilivu kwa mwezi mmoja tu. vikao vya pande mbili vinategemea kuanza jpili hii.
Naomba mchango wa mawazo yenu wadau.
Dogo anataka kufungua kesi ya udanganyifu.
Mkuu jitahidi kuandika sentensi nzima, mfano unaandika "angu" badala ya wangu maana mwandiko wako unakatisha kusoma
Msije mkamdanganya kuwa mtoto ni wake. Mtoto anayezaliwa na miezi saba atakuwa hajakomaa (premature au njiti). Kwa maelezo yako ni kwamba mtoto amezaliwa na afya njema. Hii ni kusema mimba ilitungwa kabla ya mwezi Desemba 2018 (kwa vyovyote vile ni mwezi Novemba au hata kabla). Huyo shemeji yenu aongee vizuri.Hili suala tulisikie tu jamani. mdogo angu kabisa yamemkuta. Ipo hivi; mdogo angu alikuwa na mpenzi wake aitwae ireen. walikorofishana mwezi juni mwaka 2018 wakaachana. Mwezi novemba mwaka 2018 mdogo angu katika pita pita zake town akakutana na Ireen, wakapeana tena mawasiliano. wakaanza kuchart mara wakarudisha penzi. kwa maelezo ya mdogo angu na Ireen kuthibitisha kuwa walikutana kimwili tarehe 3 Desemba 2018. Baada ya wiki tatu Ireen akamwambia mdogo angu kuwa mjamzito. dogo akamchukua hadi hospitali kupima, akathibitika ni kweli. Mwezi february Ireen akaanza Clinic, tarehe yake ya makisio ni 20 August 2019.
Ireen 1 July 2019 ucku wa saa 2 kajifungua mtoto wa kike, mwenye afya njema kabisa. Mdogo angu kapagawa hatari,mtoto si wake. familia tumemtaka awe mvumilivu kwa mwezi mmoja tu. vikao vya pande mbili vinategemea kuanza jpili hii.
Naomba mchango wa mawazo yenu wadau.
Dogo anataka kufungua kesi ya udanganyifu.
Ukisema ni wewe ndio yamekukuta kuna shida gani mkuu!?huendi mbinguniHili suala tulisikie tu jamani. mdogo angu kabisa yamemkuta. Ipo hivi; mdogo angu alikuwa na mpenzi wake aitwae ireen. walikorofishana mwezi juni mwaka 2018 wakaachana. Mwezi novemba mwaka 2018 mdogo angu katika pita pita zake town akakutana na Ireen, wakapeana tena mawasiliano. wakaanza kuchart mara wakarudisha penzi. kwa maelezo ya mdogo angu na Ireen kuthibitisha kuwa walikutana kimwili tarehe 3 Desemba 2018. Baada ya wiki tatu Ireen akamwambia mdogo angu kuwa mjamzito. dogo akamchukua hadi hospitali kupima, akathibitika ni kweli. Mwezi february Ireen akaanza Clinic, tarehe yake ya makisio ni 20 August 2019.
Ireen 1 July 2019 ucku wa saa 2 kajifungua mtoto wa kike, mwenye afya njema kabisa. Mdogo angu kapagawa hatari,mtoto si wake. familia tumemtaka awe mvumilivu kwa mwezi mmoja tu. vikao vya pande mbili vinategemea kuanza jpili hii.
Naomba mchango wa mawazo yenu wadau.
Dogo anataka kufungua kesi ya udanganyifu.
Kunywa chochote nitakulipia mkuu!never ever"Ni mwiko kurudiana na mwanamke ulieachana nae"
Hayo majina ya Irene sina hamu nayo [emoji24][emoji24][emoji24]