OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,237
- 103,891
Hayo ndio mafanikio makubwa atakayokumbukwa wakati akimaliza muda wake. Kupambana na upinzani.Kuna vitu mnachanganya aidha kwa makusudi au kwa kuwanukuu vibaya.
CCM haijawahi kusema itamaliza ufisadi, ilisema itamaliza Upinzani.
Sent using Jamii Forums mobile app
hata kidwahili ipo,chek vizuriHizi taarifa za CAG inabidi ziwe zinaandikwa kwa kiswahili ili hata sisi tulioishia la Saba tuweze kufahamu kinachoendelea
Mkuu wa Wilaya CCM, Mkurugenzi CCM, baraza la madiwani CCM, Serikali za vijiji CCM bila shaka hadi mkandarasi ni kada. Imeishia hiyo.
Si mlisema huyu CAG ni fake?
Si mlisema atatenda kama mkuu anavyotaka?
Au sio nyie mliosema?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapa kinachozungumzwa ni Ufisadi jimboni kwa Speaker na siyo credibility ya Source za Ufisadi huo. Msiwe mnapenda kuwaingiza walimu kwenye matatizo kuwa hawafundishi, wakt kwenye mitihani mmejibu maswali mliyotunga wenyewe!Si mlisema huyu CAG ni fake?
Si mlisema atatenda kama mkuu anavyotaka?
Au sio nyie mliosema?
Sent using Jamii Forums mobile app