Mdhamini wa waasi wa ADF

Hata mimi natamani hawa jamaa wasakwe na wafundishwe adabu.
 
anayemefaidika na rasilimali za Congo kwa njia sizizo halali ni Kamage na M7!! Kagame yupo nyuma ya haya yote kuanzia ya m23 mpaka ADF na JWTZ imeonekana ni kikwazo kikubwa katika wizi wao Congo
 
Unafikiri wamefanyiwa nini zaidi ya kukosa uhuru wa kile walichokikusudia?
 
Makamanda wetu tafakuri ni muhimu. Vijana wetu wana weledi ambao unageuka chukizo kwa wenye maslahi yao huko.
 
The film also discusses the US support of the Rwandan government following the genocide in that country, and how Washington has largely given Rwanda a blank check to intervene in the Congo
 
Nitafurahi siku tukirevenge maana hamna namna. Kwenye zile picha kuna watu wana mabawa mawili maana yake ni komando ni gharama sana kumwandaa komando hivyo revenge pekee ndio itakayo lipa gharama ya damu iliopotea
Msamaha ni bora [emoji4]
 
Wazungu wanawatumia Kagame na M7.

Bahati mbaya sana japo sina uhakika eti " Hao wanasesere wawili ndiyo marafiki zetu wakubwa"
 
Mimi nna fikiri tofauti kidogo ..., na ninaingiwa na uwoga kidogo ..

Kwanza ninajiuliza swali la msingi kabisa, sielewi kwanini askari wetu wengi waliouawa ni Wazanzibari .. ?! Kama sikosei, ni askari 9 kati ya 14 waliouawa ni kutoka visiwani, sijui ni wangapi toja Pemba ama wangapi toka Unguja ...

La pili, katika mpangilio wa kijeshi, sidhani kama ni sahihi sana kuwalundika watu wa aina, kabila, dini moja katika kikosi kimoja ... Ni lazima kuna utaratibu fulani unafuatwa katika kuwapanga askari ili kuepuka ajali/makusudi/sabotage ya kuliumiza jeshi namna hii ..

Jambo hili la vifo vya wazanzibari askari vijana wengi namna hii ..., linatakiwa lipatiwe majibu na ma Jenerali wa JWTZ na sio UN peace force ....

Au wana JF tumeacha kufikiri siku hizi .... ?!

Can't we smell a rat in these killings ... ???!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…