JustDoItNow
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,967
- 1,513
Habari zenu wakuu. Nimekuwa nikifatilia sana kuhusu hawa jamaa wanaojiita waasi wa ADF. Nimeshindwa kupata jibu ni nani anawafadhili kipesa na siraha. Kama Museveni ni adui wao, Rwanda ni adui wao, Congo ni adui wao na hata Tanzania ndo wametufanyia mbaya. Je, ni nani yuko nyuma yao? haiwezekani wakawa wana survive porini na wakati wamezungukwa na maadui kila kona. kuna mambo yaliyojificha na hatuyajui.