lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 789
- 384
Nakumbuka tulifanya Interview ya kuandika jmosi iliyopita na wakatuhaidi kwamba jumaatatu watapigia waliofaulu kwenda kwenye Oral Interview lakini mpaka sasa hatuelewi kama washaitana kindugu au mchakato bado kweli.
Katika ule usaili mpaka natoka kwenye chumba cha mtihani nilikua na uhakika wa kufaulu kwa asilimia 95% kwahiyo hiki ni kipimo tosha kwangu kujua kama kweli huwa wanaajiri yeyote aliefaulu mtihani au wanaendesha zile interview kama formality wakati tayari washaandaa watu wao wa kuwaajiri.
Mana kila ninaemuuliza ambae nilifanya nae usaili nae anasema bado hajasikia tetesi zozote kama washaita watu kwaajiri ya Oral Interview au la.
Kuna yeyote humu ambae alifanya ule mtihani siku ya jmosi ? Kama yupo na ana update zozote tafadhali tunaomba atujuze
Sio lazima waniite mimi hata kama nimefaulu ila ni kitu kizuri kujua kwamba mchakato flani ushafanyika ili tupunguze matarajio hata kama wameshaita watu wengine