Mdee: Sitishwi na mbwa ninaowafuga

Nyinyi ndio mnaowadharau wazazi wenu kwa sababu mmesoma kuliko wao. Na ndio mnaowadharau walimu wenu wa praimari kwa sababu mna vidigriii.

Amandla...
Praimari ndio nini?
Hakuna nilipodharau, Ila mbowe form six failure hawezi kumfundisha siasa Jemedari shujaa halima James mdee
 
Praimari ndio nini?
Hakuna nilipodharau, Ila mbowe form six failure hawezi kumfundisha siasa Jemedari shujaa halima James mdee
Sasa baba aliyefeli mtihani wa darasa la saba atamfundishaje mwanae aliyemaliza fomu 4 kuhusu maisha? Mdee alimkuta Mbowe tayari yuko kwenye siasa. Kuna ajabu gani katika kusema kuwa alimfundisha kitu ambacho Halima hakukisomea?

Amandla...
 
CDM watakywa wajinga wa mwisho km wataendelea kuegemea kipengele hiki kibovu kabisa cha katiba kinachonyima haki kwamba mbunge akivuliwa uanachama anakoma kuwa mbunge..kati ya vipengele vinapaswa kuondolewa au kubadilishwa kwenye katiba ni hiki kipengele CCM walikiweka kwa faida yao, ni ajabu sana CDM kukitumia ili hali wanataka katiba mpya!
Ajenda hii ya wabunge 19 wa CDM si ajenda ya chama, ni ajenda ya baadhi ya wanaBAWACHA ikiwatumia baadhi ya kundi la BAVICHA wahuni ambao wengi wao hawana mchango wwte kwa chama, kazi kupiga domo na kutukana..kama wanatumia kunufaika na ubovu wa katiba basi hakuna haja ya kuwa na katiba mpya..madai yao hayana msingi! Huwezi kurukia ajenda ya uhalali wa wabunge wenu ukaacha kusimama na ajenda ya uchaguzi 2020 ulikuwa batili! Nani atawaamini CDM kwa ugeugeu wa aina hii..ni kama kimebaki kuwa chama cha waganga njaa tu!
 
Tuambie Hoja, si cult of personality.
 
Madai ya Katiba ni ya mbowe au wananchi?
Hii katiba tuliyonayo sasa ilidaiwa na mbowe?

Mbowe ni gaidi na alikutwa na kesi ya kujibu. Mama yetu kamuonea huruma tu lakini haimaanishi mbowe sio gaidi.
Acheni utoto si nyie mlianza kutukana humu kuwa wananchi wako busy na maji na barabara hata katiba hawana habari nayo ikabaki CHADEMA tu ndio inapiga kelele alafu Leo unadai ni wananchi? πŸ˜‚πŸ˜‚

By the way Gaidi toka lini akapewa clearance ya kukaa distance ya mita 1 na Rais?? Si angemnyonga pale pale!!!

Mkuu utarukaruka ila hauwezi ukaongelea siasa za Tanzania ukamuacha Mbowe pembeni. Samia kaligundua Hilo ndio maana kamuita mezani nyie wachumia tumbo mtabaki mnapiga kelele mitandaoni.
 
Hiyo sheria ipo sababu hatuna mgombea huru otherwise isingelazimu mtu kudhaminiwa na chama. However, sheria imewekwa Ili chama kiwe na control na wabunge wake wasijiamulie mambo nje ya party caucus zao!!
 
Na huwa anaoa huyo, kwa sifa unazompa japo wewe ni mwanaume mpe sanvu la kopo au mbuzi kagoma na ataku....binua anavyotaka mpaka ikibidi ata.....kutia mimba mpaka nawe useme poo, mbwa mwenyewe
 
Mithali 29:1-14 SUV

"Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafula, wala hapati Dawa"

Haya tunasubiria Useme tena sasa Jaji Muhuni kama Kawaida yako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28]
 
Siku hizi hamnanilio bulaya?
Unafiki jambo baya sana
 
Mithali 29:1-14 SUV

"Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafula, wala hapati Dawa"

Haya tunasubiria Useme tena sasa Jaji Muhuni kama Kawaida yako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28]View attachment 2272524
Tulimchangia bukubuku zetu asifungwe. Leo anaita watu njuka! Hivi kuna mungu wangapi? Yaani wore wafanye hata halima??
 
Yeye ndio mbwa tena Jibwa koko lisilo na sehemu wala makazi maalumu,heshima aliekuwa nayo sasa hivi hata awekwe wapii haipo tena anatapatapa tuu,unadhani chama ganii kitakacho mpokea alafuu haaminike tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…