Mdee: Sitishwi na mbwa ninaowafuga

Kwani wao wanataka kulinda uanachama wao au wanataka kulinda kula Yao?..Mahakama kuna mahali zmetekwaaa...!!
 
Eti Binti!

Mzee Halima Mdee siku hizi amekuwa Binti.
 
Hana ushujaa wowote! Ni takakata Kama takataka nyingine. Hao wangekua na nguvu Kama Magu na job wangekua madarakani. Lkn Mungu Kesha amua hiyo kesi, kwa Sasa Ni suala la muda tuu wanarudi kudanga ile mitaa.
 
Kabla ya Mbowe kumfundisha siasa we ulikua unamjua? CHADEMA Ina wanawake wengi sana ndio maana iliweza simamisha wagombea ubunge 70 wanawake!! So they are more than replaced come 2025
Mdee kafundishwa siasa na mbowe? Mdee ni UDSM graduate, mbowe form sjx leaver. Ushaelewa nachomaanisha
 
Covid 19 ni manambazj wa kodi za Wananchi

Hukute ata hujawai kulipa ata mia kwenye hiyo kodi unayopigia kelele hachilia mbali kodi za kujiunga vifurushi vya mitandao ya simu,Nyie ndo mnatia Mwiguru Nchemba hasira ya kukusanya kodi kwa kwa ulazima kila kichwa mana mnalalama sana kodi zenu kuliwa Bungeni!
 
Mnafiki Mkubwa wewe. Subiri Katiba Mpya inakuja
 
Mdee kafundishwa siasa na mbowe? Mdee ni UDSM graduate, mbowe form sjx leaver. Ushaelewa nachomaanisha
Nani kakwambia siasa ni Elimu?? Uwezo wa kujenga hoja, principle za kumshawishi, kuchagua kauli, kumobilize, negotiate n.k hayo hufundishwi darasani kijana.

Matiko naye alichukuliwa UDSM kafundishwa siasa.
Zubeilda pia alikua Mzumbe anaandikia wabunge hotuba/michango Mbowe kamchukua kamfundishw siasa. Same to zitto, Silinde, na kafulila so hakuna product ya vijana wa upinzani unaowaona Leo ambaye Hana mkono wa Mbowe.

Huko CCM hamna hao vijana ndio maana wakitoka huku mnawapa uwaziri na uRC!!! alafu unataka kudown play uwezo wa Mbowe?
 
She is always new
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…