Acheni watu wafanye kazi, mnawapeleka watu kwenye maandamano, ikifika jioni nyie mnapokelewa na sukari na mkate NA WATOTO WENU, alafu sisi tunaingia nyumbani kwa kujificha na ukuta tukiwa tumechoka mpaka kitandani, huku nikiwaacha watoto wangu wakipiga miyao sebuleni wanamsubiri baba atoke kazini.

Leo ni Idd siku ya kupumzika, Chadema mnafanya mikutano?.
Acheni watu wafanye kazi, mnawapeleka watu kwenye maandamano, ikifika jioni nyie mnapokelewa na sukari na mkate NA WATOTO WENU, alafu sisi tunaingia nyumbani kwa kujificha na ukuta tukiwa tumechoka mpaka kitandani, huku nikiwaacha watoto wangu wakipiga miyao sebuleni wanamsubiri baba atoke kazini.
waelezeni ukweli na wafungueni wanawadar kutoka ktk kifungo cha magamba,
​Kumbe Dar, CDM haiwezi kupata watu hata ifanyeje , dar ina wenyewe watakao kwenda pale ni wahamiaji wa mikoa ya kaskazini waliopo dar. Dar ina watu wanaojitambua, ndio maana humu JF wasio penda Amani hua wanailaumu dar kuwa inawaangusha.