Acheni watu wafanye kazi, mnawapeleka watu kwenye maandamano, ikifika jioni nyie mnapokelewa na sukari na mkate NA WATOTO WENU, alafu sisi tunaingia nyumbani kwa kujificha na ukuta tukiwa tumechoka mpaka kitandani, huku nikiwaacha watoto wangu wakipiga miyao sebuleni wanamsubiri baba atoke kazini.
Filimbi imelia ccm leo inazikwa rasmi viwanja vya sahara mabibo kuanzia saa 9 mchana.
UPDATE
Watu wameanza kumiminika uwanjan natumia nokia E63 nifundishen namna ya kuapload picha.
​Kumbe Dar, CDM haiwezi kupata watu hata ifanyeje , dar ina wenyewe watakao kwenda pale ni wahamiaji wa mikoa ya kaskazini waliopo dar. Dar ina watu wanaojitambua, ndio maana humu JF wasio penda Amani hua wanailaumu dar kuwa inawaangusha.
Acheni watu wafanye kazi, mnawapeleka watu kwenye maandamano, ikifika jioni nyie mnapokelewa na sukari na mkate NA WATOTO WENU, alafu sisi tunaingia nyumbani kwa kujificha na ukuta tukiwa tumechoka mpaka kitandani, huku nikiwaacha watoto wangu wakipiga miyao sebuleni wanamsubiri baba atoke kazini.
kababu
acha wivu ndugu yangu.
Siasa ni kazi sio starehe, wananchi wanaokwenda kwenye hiyo mikutano
wako katika kazi za ujenzi wa nchi yao na maisha yao ya sasa na baadaye.
Mikutano hiyo ni zaidi ya Elimu ya darasani, hiyo ni mikutano ya kutoa
Elimu ya maisha na maendeleo ya mtanzania.
Lakini pia ujue watanzania wengi hatuna Sebure na pia hatuna vitanda
bali tunalala kwenye mikeka na virago tu.
Filimbi imelia ccm leo inazikwa rasmi viwanja vya sahara mabibo kuanzia saa 9 mchana.
UPDATE
Watu wameanza kumiminika uwanjan natumia nokia E63 nifundishen namna ya kuapload picha.
waelezeni
ukweli na wafungueni wanawadar kutoka ktk kifungo cha
magamba,
Hao ni "Wapiga Domo Combine".Filimbi imelia ccm leo inazikwa rasmi viwanja vya sahara mabibo kuanzia saa 9 mchana.
UPDATE
Watu wameanza kumiminika uwanjan natumia nokia E63 nifundishen namna ya kuapload picha.
UPDATE
Mkutano umeanza nawaona viongozi wa jimbo na mbunge mnyika na Henri kilewo wakina mdee,slaa na wengine bado hawajafika natafuta taarifa kamili kwann hawajafika.
Mnyika amevaa baraghashia
Henri kilewo anaongea sasa jukwaan anaongea juu yaliyojiri kukamatwa kwake.
Alihojiwa na makamanda sita wa polisi aliulizwa ni viongoz gani walikuwepo kwenye uchaguz wa igunga akawataja mkapa na magufuli polisi wakakataa kumsikiliza wakamjibu si hao tunataka utaje viongoz wa cdm sio wa ccm. Difenda 4 zilimpeleka uwanja wa ndege interpol wakawakatalia polis wa tz kumsafirisha kilewo akiwa na pingu pamoja na bastola zao. Siku hz jela kwa cdm ni bedroom na polisi ni sitting room.