Jasho la Damu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 956
- 120
Filimbi imelia ccm leo inazikwa rasmi viwanja vya sahara mabibo kuanzia saa 9 mchana.
Acheni watu wafanye kazi, mnawapeleka watu kwenye maandamano, ikifika jioni nyie mnapokelewa na sukari na mkate NA WATOTO WENU, alafu sisi tunaingia nyumbani kwa kujificha na ukuta tukiwa tumechoka mpaka kitandani, huku nikiwaacha watoto wangu wakipiga miyao sebuleni wanamsubiri baba atoke kazini.
One day i will join them. Tz must b rescued from this neo colonism
Acha kuweweseka gamba wewe, tulia dawa ikuingie vizuri.mkisikia mkutani wa chadema mnaweweseka tulia .Acheni watu wafanye kazi, mnawapeleka watu kwenye maandamano, ikifika jioni nyie mnapokelewa na sukari na mkate NA WATOTO WENU, alafu sisi tunaingia nyumbani kwa kujificha na ukuta tukiwa tumechoka mpaka kitandani, huku nikiwaacha watoto wangu wakipiga miyao sebuleni wanamsubiri baba atoke kazini.
Filimbi imelia ccm leo inazikwa rasmi viwanja vya sahara mabibo kuanzia saa 9 mchana.
UPDATE
Watu wameanza kumiminika uwanjan natumia nokia E63 nifundishen namna ya kuapload picha.
Red brigade ulinzi uimarishwe, maana policcm lazima waje na mabomu.lindeni kama ule mkutano wa kuwashukuru wana arushaMakamanda muwe karibu na polisi maana imani kwa umma imeondoka
Wewe endelea kuota tuu! :target:​Kumbe Dar, CDM haiwezi kupata watu hata ifanyeje , dar ina wenyewe watakao kwenda pale ni wahamiaji wa mikoa ya kaskazini waliopo dar. Dar ina watu wanaojitambua, ndio maana humu JF wasio penda Amani hua wanailaumu dar kuwa inawaangusha.
Mbonkuna uzi mwingine unasema wabunge wote wa cdm wako jimboni kwa mbowe?