Ndibalema
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 10,955
- 4,662
Mzalendo huyu aliamua kusimamisha shughuli zake ili ashuhudie historia nyingine ikiandikwa na wabunge wake.
Loo! hakuamini macho wala masikio yake hasa walipozungumza wale wabunge wa viti maalumu kutoka chama pendwa.
Mbaya zaidi mdau huyu aliingia gharama ya ziada ya kununua petroli na kukodi jenereta kwani umeme ulikuwa unakatika mara kwa mara tangu kuanza kwa mjadala maarufu wa escrow.